Tatemahunda
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 232
- 91
yahoo,n.a, matimizi,ntajiajiri ndio nini? Kwa uandishi huu wanafunzi watakuelewa kweli? Hebu kuwa serious! Ushauri:
Jaribu kutuma maombi ya kukumbushia Wizara ya Kilimo na chakula.Mbona wengi waliohitimu 2012 walishaajiriwa kama maafisa ugani?
Kuanzia leo serikali ya tanzania nimeitoa samani.sina hamu nayo kabisa.
Du! Bora mkuu hujawa mwalimu kweli watoto wetu wangepata hasara sana ulivyoandika unanipa mashaka kweli.wakuu kwanza nitangulize heshima kwenu..Mimi ni mtanzania niliyehitimu mafunzo yangu yahoo kilimo ngazi yahoo cheti mnamo may 2012..tangu hapo nimekua nikisubiri kuajiriwa lkn hadi Leo naona kimya..wenzangu nikimaliza nao kidato cha nne n.a. wakaenda teaching sasa wanakula mshahara..kwangu Mimi maisha magumu n.a. wala cjui ntajiajiri vp mana matimizi yangu mwenyewe ni shida, ntajiajiri vp?? naombeni ushauri mana kwangu maisha yashakua magumu..
Du! Bora mkuu hujawa mwalimu kweli watoto wetu wangepata hasara sana ulivyoandika unanipa mashaka kweli.
wakuu kwanza nitangulize heshima kwenu..Mimi ni mtanzania niliyehitimu mafunzo yangu yahoo kilimo ngazi yahoo cheti mnamo may 2012..tangu hapo nimekua nikisubiri kuajiriwa lkn hadi Leo naona kimya..wenzangu nikimaliza nao kidato cha nne n.a. wakaenda teaching sasa wanakula mshahara..kwangu Mimi maisha magumu n.a. wala cjui ntajiajiri vp mana matimizi yangu mwenyewe ni shida, ntajiajiri vp?? naombeni ushauri mana kwangu maisha yashakua magumu..
yahoo,n.a, matimizi,ntajiajiri ndio nini? Kwa uandishi huu wanafunzi watakuelewa kweli? Hebu kuwa serious! Ushauri:
Jaribu kutuma maombi ya kukumbushia Wizara ya Kilimo na chakula.Mbona wengi waliohitimu 2012 walishaajiriwa kama maafisa ugani?
Kwenye kilimo hamkufundishwa kujiajiri? Mbona mkuu umesoma fani Safi kabisa yakuweza kujiajiri!
mkuu Kwanza nitangulize samahani Kwa hizo typing errors..ila nimesha edit ..ila kwa waliomaliza 2012 bado hadi sasa hakuna aliyekwisha ajiriwa ila wapo waliochaguliwa jana kupitia secretariat ya ajira na mimi pia niliomba ila kilichoniuma zaidi ni pale tu nilipoona wenzangu wamechaguliwa na mimi cna hata mtaji..
Kama unandugu Mpwapwa Lumuma kajaribu kuazima shamba ulime vitunguu ja hekari moja baada ya Sikh 90 vuna uza ukiwa serious unaweza pata hadi 8-12m itakutosha kupata mtaji wa biashara. Ukiota kuajiriwa unapoteza muda wako Kuna watu wanadegree hadi 5 sasa ni miaka 6 hawana kazi wanatamani kulima.