Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu kwanza nitangulize heshima kwenu..Mimi ni mtanzania niliyehitimu mafunzo yangu ya kilimo ngazi ya cheti mnamo may 2012..tangu hapo nimekua nikisubiri kuajiriwa lkn hadi Leo naona kimya..wenzangu niliomaliza nao kidato cha nne na wakaenda teaching sasa wanakula mshahara..kwangu Mimi maisha magumu na wala cjui ntajiajiri vp mana matumizi yangu mwenyewe ni shida, ntajiajiri vp?? naombeni ushauri mana kwangu maisha yashakua magumu..