Ningejua bora ningeenda teaching kuliko afisa kilimo...


Kwa kawaida mtu kujikatisha tamaa mwenyewe ni jambo ambalo huwa silipendi kabisa. Ni heri sisi ndio tukukatishe tamaa ila sio wewe. Na bahati mbaya unailalamikia kada uliyoisoma. Kama uliisoma kwa lengo la ajira hapo lazima usubiri. Lakini mi naona kama bado una nafasi ya kujiajirii vizuri katika kilimo na kikakulipa tu japo si kwa haraka uliyonayo. Asikudanganye mtu hata kwenye ualimu sio kwamba ndio kuzuri nako kuna changamoto zake na kama hukujiandaa kuwa mwalimu utakimbia. Chemsha bongo jipange kujiajiri UNAWEZA.
 
Tuma maombi ya ualimu noW,,,njoo upate mtaj wa haraka,,songea tc,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…