Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hata hivyo huwa nakuelewa uko ki MPIRA zaidi na si Ki TIMU ,safi sanaNimemuelekeza na Ameelewa.
Nimemwambia Hivi.
Sifa ninazompa NGOMA alipokuwa anachukua Mipira CHINI (track back)
Anakaa na Mpira, anawavuta wapinzani Wakienda kumkaba anatoka pass ya usahihi mno (anavisha mistari miwili) kwenda kwa chama au KIBU.
Alikuwa Bora sana kwenye MATUMIZI ya space na time.
Anaudhaifu kiasi kwenye kukaba, timu isipokuwa na mpira,
si mzuri sana kwenye Kukaba.
Simba Haina Kiungo mkabaji hata Mmoja.
Mzamiru ni 8,
Kanute 8.
NGOMA NAYE ni 8.10