Ningekaa kimya ningekufa nalo: Fabrice luamba ngoma midfilder teacher (airport) mchezaji bora wa super league

Hata hivyo huwa nakuelewa uko ki MPIRA zaidi na si Ki TIMU ,safi sana
 
Kwahiyo ngoma kawa mzuri kwenye mechi hiyo au tokea muda?
Kwanini hukutaka kusubiri mechi ya pili uone approach ya Al Ahly wakiwa kwao ndio uje utoe credit kwa Ngoma?
 
Kwahiyo ngoma kawa mzuri kwenye mechi hiyo au tokea muda?
Kwanini hukutaka kusubiri mechi ya pili uone approach ya Al Ahly wakiwa kwao ndio uje utoe credit kwa Ngoma?

NGOMA ni mchezaji Mkubwa sana mkuu.
Amecheza Timu ya TAIFA ya CONGO.
Amecheza sana na Raja Casablanca.

Amefunga magoli zaidi ya 8 kwenye MSIMU mmoja akiwa raja.

Akiwa A S vita ndio usiseme.

Ninamfahamu na nimemfuatilia miaka Mingi na naujua Uwezo wake.
 
Mcheza mkubwa huwa ni profile ya mchezaji ila siongelei ukubwa wa mchezaji bali kiwango cha Ngoma cha sasa.

Sijaona mwanaSimba yeyote aliyemsifia Ngoma kwenye mechi mbili dhidi ya power dynamo au mechi za nyuma. Lakini ni ajabu mchezaji ana perform kwenye mechi moja tena ana perform kwasababu ya aina ya mchezo wa timu pinzani lakini umekuja na hitimisho la mashindano mazima ya AFL. Au kwako mashindano ya AFL yametamatika Ijumaa?
 
MBAKA SASA NGOMA ndio kiungo Bora WA AFL
nitaleta Takwimu zake.

HAPA nimeweka Takwimu za Simba kuwa timu kamili zaidi kwa MUJIBU WA CAF.

SIMBA SPORTS CLUB.
Pass zilizofika- 546
Usahihi WA kupiga pass - 86%
Mashuti golini - 6.

Nitaiangalia tena match kuhakikisha kama NGOMA alipoteza pass yoyote kwenye mchezo

Amenikumbusha Lwanga kwenye Mechi na As vita 4-0.

Hakupoteza mpira hata Mmoja
Hakubutua
Hakupoteza pass hata moja
 
1) Weka hapa source ya CAF
2) lete takwimu ya timu zingine saba zilizocheza ili tuone kwa upande wao
3) Kwanini sasa kwenye uzi wako ulishindwa kusema hiyo kauli ya "Mpaka sasa" na badala yake ukatoa hitimisho utafikiri michuano imeisha?
 
Wewe unaongelea dhahania, mwenzako anaongelea hali halisi iliyoonekana. Sijui ndio mambo ya negativity always? Jifunze kuappreciate vitu taking into consideration kwamba hakuna mchezaji duniani anayeweza kuwa complete 100%.
 
Kipi nilichoongea nadharia Na sio uhalisia?
 
Mfumo wa Simba Sc kwenye mechi hiyo ndio uliilazimu Ahly kucheza hivyo, kwahiyo bado sioni point yako hapo.
 
Mfumo wa Simba Sc kwenye mechi hiyo ndio uliilazimu Ahly kucheza hivyo, kwahiyo bado sioni point yako hapo.
Haina haja kubishana sana muda ni mwalimu, ila Simba imetoka kucheza mechi mbili za kimataifa kabla ya Al Ahly na Ngoma alififia. Kesho tutapata majibu sahihi
 
Haina haja kubishana sana muda ni mwalimu, ila Simba imetoka kucheza mechi mbili za kimataifa kabla ya Al Ahly na Ngoma alififia. Kesho tutapata majibu sahihi

Ngoma ni mchezaji wa Mechi kubwa Amecheza Fainali kibao na hao WAARABU.

NGOMA anatamba kwenye viwanja vikubwa kama TAIFA Mohamed 5 nk.

Umpeleke NGOMA Mbeya utegemee awe kwenye makali, kauwanja kadogo nk.

ALAFU NGOMA ni very Humble
Hana Maringo na si mjivuni.
Utadhani si Mkongomani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…