Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,167
- 1,872
Wanabodi Hamjambo...
Ni Wazi Kila Serikali Duniani Nia Na Lengo Lake Ni Kuleta Maisha Bora Kwa Wananchi Wake. NA ndio Maana Moja Ya Slogan Katika Kupindi Cha JK ni MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA.
Katika Muktadha Huo, Kama Ningepata Nafasi Ya Kua Na Ushawishi Katika Chama, Bunge Na Serikali, Basi Ningeshauri Juu Wa Uongozi Katika Wilaya, Mkoa, Kata, Jimbo na Mtaa.
Ni Mtanzania Pekee Ndie Anayeipenda Tanzania Na Kuipigania Katika Kila Hali Na Mali, Na Unaweza Kuthibitisha Hili Pale Unapoona Tanzania Inasemwa Vibaya Au Imesifiwa Kimataifa, Basi Ndio Hapo Mitandao Ya Kijamii Ya Kimataifa Inajaa Comments Za Watanzania Tupu.
Katika Hilo Hilo Na Mfano Huo, Imefika Wakati Kila Mkoa, Wilaya Au Kata Zipate Viongozi Ambao Ni Wakazi Wa Maeneo Husika. Hao Ndio Wanauchungu Wa Dhati Na Maeneo Yao/Mkoa/Wilaya kama ilivyo Kwa Serikali Za Mitaa. Nadhani Wengi Ni Mashahidi, Hawa Viongozi Wa Kuletewa Kwenye Mkoa Au Wilaya Mara Kadhaa Hufanya Kazi kama Business As Usual ili ikifika Muda Ahamishwe Au Aachishwe Na Hakuna Maendeleo Ameleta. Kuna Mifano Ya Mikoa Kadhaa Au Wilaya Kadhaa.
Hii Inaenda Kwa Sehemu Zote Kuanzia RC, DC, WC, SC, MB... with the exceptional of Metropolitan cities..
Mawazo Huru 2025
Naomba Kuwasilisha