Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo mmeumia ninyi kuliko BashiruMajuto ni mjukuu.
Usisahau na manunuzi ya wabunge na madiwani wa upinzani kwa hela ya umma. Wananchi walistarve huku kodi yao ikitumika kwa anasa za kisiasa. Daah!!Kilichomponza ni wizi wa kura hii demotion is direct from God.
Ajiuzuru nini sasa?
Atulie na ubunge wake tu na ipo siku atakuja kupewa Uwaziri.
CCM ni ile ile...
Huyu mtu kitu alilazimisha hospitali ya wilaya ya Bukoba Vijijini ijengwe kwao wakati anajua kuwa pale ni karibu na mjini.Huyo Kakulwa kaiba sana hela
Ndo maana pale kwao Bukoba katelelo Rulongo Bukoba vijijini alikuwa anaabudiwa mwizi hafai
Mnamuonea wivu, cheo cha ubunge kapata bila ghalama hata akimaliza akastaafu hana wa kumdai nyie ndo mnateseka kwa umbea wenu.Ni kawaida ya kenge kutosikia maumivu hadi pale anaposikia damu zinamvuja ndiyo anajua kuwa ameumia.
Mwache aendelee na tamaa ya madaraka huku akizidi kuporomoka
Mbowe naona mnamuugua sanaMnamuonea wivu, cheo cha ubunge kapata bila ghalama hata akimaliza akastaafu hana wa kumdai nyie ndo mnateseka kwa umbea wenu.
Kama mbowe kakosa ubunge hajulikani aliko, G Lema kakimbia nchi baada ya kukosa ubunge sasa nyie iweje muone bashiru hastahili huo ubunge?
Bashiru ni jembe na mtamkuta kwa mbele anawasubili ndo mtachanganyikiwa
Eti jembe[emoji23][emoji23][emoji23] jembe anapewa viti maalum bungeni?Mnamuonea wivu, cheo cha ubunge kapata bila ghalama hata akimaliza akastaafu hana wa kumdai nyie ndo mnateseka kwa umbea wenu.
Kama mbowe kakosa ubunge hajulikani aliko, G Lema kakimbia nchi baada ya kukosa ubunge sasa nyie iweje muone bashiru hastahili huo ubunge?
Bashiru ni jembe na mtamkuta kwa mbele anawasubili ndo mtachanganyikiwa
Bashiru hajatupwa bali amegeuzwa mgongo na soon anapewa nafasi nyingineAjiuzuru nini sasa?
Atulie na ubunge wake tu na ipo siku atakuja kupewa Uwaziri.
CCM ni ile ile...