mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Nimekuwa nikifanya biashara kwa miaka sasa , Nina deal tu na mchele nauzia hapo zambia, nadeal na kiazi mviringo kinaenda hapo Kenya , na deal na biashara zangu tu za usifirishaji .
Moja ya jambo ambalo na regret ni kutohamisha shughuli zangu za utafutaji kwenda nchi nyingine za Afrika na duniani huko, bongo ni mahali pazuri sana shida ni mfumo wa CCM uliopo.
Tunachokifanya ni kubahitisha kila muda Kila wakati , hakuna muda unakuwa na uhakika na biashara Yako na shughili zako. Mfano mwaka huu nchi nyingi na hata Tanzania patakuwa na njaa kutokana na,
1. Watu kutopata faida kwa msimu wa kilimo uliopita hivo wengi hawajarudi mashambani
2. Ukame na uhaba wa mvua , Kwa hiyo chakula hasa nafaka msimu huu zitakuwa adimu basi utasikia serikali imefunga mipaka kwa hoja ya usalama wa chakula kwa hiyo mkulima n mfanyabiashara ili uyatoe mazao Yako nje ya nchi ili upate faida lazima utatumia rushwa.
Hili jambo linanichosha sana kujua sera ya serikali ni ipi .2. watumishi wa serikali kwa bongo ni Godfather eti wewe na pesa zako inatakiwa umyenyekee mtumishi wa umma na vyeti vyake TRA wanajua ninachokisema haya yanafanya utafutaji uwe mgumu