Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
- Thread starter
- #21
Wale jamaa mpira wanaujua sana na hawapendi media kama wale jamaa wa 'its coming home'.Nahisi Croatia huwa haina nyota ya kufuatiliwa na kuwa maskioni mwa mashabiki wa soka Duniani.
Ila kiuhalisia , Croatia huwa inafanya vizuri katika mashindano makubwa mfano kombe la Dunia na Euro. Hivi mnakumbuka mwaka 1998 Croatia alishika nafasi ya tatu World Cup, wakiwa na wakali wao kina Davo Suka!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app