Ningekuwa kocha wa Brazil ningechukua kombe la dunia mapema asubuhi

Wale jamaa mpira wanaujua sana na hawapendi media kama wale jamaa wa 'its coming home'.
 
Wanaharibu ni hao vyombo vya habari vya Uingereza ndo vilishapanga kabisa kuwa Brazil ni bingwa.
 
Kosa mlilofanya ni kuiunderate mno Crotia yaani mnadhani Crotia ni team ndogo sana. Wazee mnakosea mno. Hata kibanda umiza niliwashangaa sana watu.
Kuna yule beki alikuwa na mask aisee yule jamaa kitasa sana kazikazi.
Usiwasikilize washangiliaji. Timu ambayo ni finalist wa WC iliyopita anakuwaje underdog?
 
Kosa mlilofanya ni kuiunderate mno Crotia yaani mnadhani Crotia ni team ndogo sana. Wazee mnakosea mno. Hata kibanda umiza niliwashangaa sana watu.
Kuna yule beki alikuwa na mask aisee yule jamaa kitasa sana kazikazi.
mwamba anaupiga wakutosha , mtoto wangu alikiri Gvardiol ndio beki Bora toka , michuano ianze
 
mwamba anaupiga wakutosha , mtoto wangu alikiri Gvardiol ndio beki Bora toka , michuano ianze
Yule beki ni mtu wa kazi haswa. Lazima atapata usajili mkubwa hivi karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…