Ningekuwa Kocha wa Simba na Yanga ningeanza ifuatavyo

Ningekuwa Kocha wa Simba na Yanga ningeanza ifuatavyo

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
Mimi ni mzalendo.
Pamoja na kunipenda sana Simba lakini linapofika suala la Nchi Tanzania Huwa naweka mbele maslahi ya Nchi.

Japo hakuna hata SEKTA Idara, Wala Taasisi yoyote yenye Mafanikio.

Kama Ningekuwa KOCHA WA Simba ningeanza Hivi.

1. Aishi Manura.
2. Shomari kapombe.
3. Mohamed Hussen.
4. Joash Onyango.
5. Henock Inonga.
6. Jonas Mkude.
7. Pape Sakho.
8. MZAMIRU Yassin.
9. Jean Baleke.
10. Said Ntibazonkiza.
11. Clotas Chama.

Sabstution.
PHIRI, sawadogo, KENEDY, Boko.

YANGA.

1. Digui Diara.
2. Juma Shaban
3. JoyceLomalisa.
4. Dickson Job.
5. Mamadou Ndombia.
6.yanic Bangala.
7.Salum Aboobakary.
8. Khalid Aucho.
9. Fiston mayere.
10.azizi key.
11Farid Mussa.

Sabstutions.
Musonda,

Nawatakia Kila lakheri weekend hii.
Japo wanasindikiza, mo apunguze CHUPLI. Simba imedrop sana.
 
Baleke huyu huyu ambaye Hana Kashi Kashi, amepoa, ampepooza kama kmwagiwa maji.

Bora aanze kyombo
 
Mkude hawezi kuanza, hata kukaa benchi tu siku hizi hapati hiyo nafasi, hiyo nafasi ya Mkude weka Sawadogo.
 
Hakuna uzalendo wa namna hiyo,,yaani kupanga list ya wachezaji ndio uwe mzalendo,,,Tafadhali sanaa!!!
 
Mbona Sab ya Yanga ni Musonda tuu? Kikosiki kimeisha au chuki binafsi

Yanga hawana mchezaji wa kubadili MATOKEO.

Wana striking force ya chini mno.
Wajitahidi kutafuta wings na kumrudisha Feisal.

Kisinda na Moloko ni mizigo, Morison ni MATATIZO matupu.

Wana kikosi finyu mno
 
Hujui mpira Bali unamahaba, mkude mwaka mzima hajacheza unataka kocha ajirisk kihivyo ??? Unamtakia nini huyo kocha??

Mkude ni kiungo Bora sana kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa MICHEZO ya kimataifa.

Huna kanute ambaye ni mbovu, sawadogo ndio huyo, unafanyaje sasa. Bora kwenda na Jonas.
 
Baleke huyu huyu ambaye Hana Kashi Kashi, amepoa, ampepooza kama kmwagiwa maji.

Bora aanze kyombo

Ndio makosa ya KUMUACHA Mugalu.
Ndio hasara ya KUSHINDWA kumleta Manzoki.

Bora uanze na PHIRI unfit kuliko kyombo mzinguaji.
 
Mimi ni mzalendo.
Pamoja na kunipenda sana Simba lakini linapofika suala la Nchi Tanzania Huwa naweka mbele maslahi ya Nchi.

Mimi ni mzalendo.
Pamoja na kunipenda sana Simba lakini linapofika suala la Nchi Tanzania Huwa naweka mbele maslahi ya Nchi.

Japo hakuna hata SEKTA Idara, Wala Taasisi yoyote yenye Mafanikio.

Kama Ningekuwa KOCHA WA Simba ningeanza Hivi.

1. Aishi Manura.
2. Shomari kapombe.
3. Mohamed Hussen.
4. Joash Onyango.
5. Henock Inonga.
6. Jonas Mkude.
7. Pape Sakho.
8. MZAMIRU Yassin.
9. Jean Baleke.
10. Said Ntibazonkiza.
11. Clotas Chama.

Sabstution.
PHIRI, sawadogo, KENEDY, Boko.

YANGA.

1. Digui Diara.
2. Juma Shaban
3. JoyceLomalisa.
4. Dickson Job.
5. Mamadou Ndombia.
6.yanic Bangala.
7.Salum Aboobakary.
8. Khalid Aucho.
9. Fiston mayere.
10.azizi key.
11Farid Mussa.

Sabstutions.
Musonda,

Nawatakia Kila lakheri weekend hii.
Japo wanasindikiza, mo apunguze CHUPLI. Simba imedrop sana.
ishu sio kikosi tu, inategemea na mbinu pia majukumu ya mchezaji mmoja mmoja mana unaweza ukawa na kikosi kizuri ila kama kocha huna mbinu unatunguliwa vizuri tu
 
Back
Top Bottom