Uchaguzi 2020 Ningekuwa Makonda ningesubiri mpaka 2025

Vipi mkuu bado una mawazo hayo?
 
Makonda usimchukulie poa boss. Mpaka kuachia ukuu wa mkoa ujue ana uhakika wa ubunge na uwaziri vyote kwa pamoja...
Vipi mkuu bado unaamini mawazo yako?
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza ,hiyo kitu ni planned mission, uwe mpole, hajauchia u RC kama ajali
Vipi bado unavuta subira ya kuamini kilichotokea mkuu?
 
Magufuli kamwambia Bashite agombee.

Akiingia Bungeni Anapewa Uspika.

Tayari Rais, Waziri Mkuu na Spika Wana Kinga Za Kutoshtakiwa.

Lengo Ni Kumlinda Dhidi Ya Matukio Aliyopiga - post 2025.

A Calculated Move
Vipi mkuu bado unaamini maneno yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…