Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fei toto na yeye ungemfukuza?Amini nakwambia! Unatumia pesa nyingi sana katika timu hii Wachezaji wanalipwa Kwa wakati wanakula
Ila sasa wanacheza ovyo ovyo, yaani mchezaji hana nguvu za kukimbia uwanjani ndo nini
Fukuza, anza maisha mapya
Ndio sababu ya Azam kutolewa?Ukweli hii Timu Bahir Dar Kama ingekutana na Utopolo pia Ingesumbua....hawafanani kbs na ASAS
Nliona Akaminko anatoka anabaki FeisalKocha ndio fala, Kwa sasa Fei toto hana namba kwenye hiyo timu ila yeye anamuanzisha.
Idris mbombo karidhika mpaka kitambi kimemtoka!Wafukuzwe kwenda wapi tena! Miaka yote tunafahamu Azam Fc ni timu inayowasaidia wachezaji wake kulea miili, na pia kuota vitambi.
Hata utimue wachezaji wote na benchi lao la ufundi! Bado Azam Fc itabakia kuwa ni ile ile tu. Timu isiyo malengo! Inayocheza kwa kukamia baadhi ya mechi, nk.
Tatizo la azam sio kocha wala viongozi ni wachezaji kuridhika na kuona tayari walishafikia mafanikioAzam wamefanya usajili mzuri wa wachezaji ila tatizo nadhani lipo kwa benchi la ufundi. Yule kocha ni mzuri ila kwa Azam bado hatoshi. Naona ana ufaza mwingi na anashindwa kutoa hamasa kwa wachezaji wake.
Tatizo l8ngine ni kwa uongozi nadhani katika sajili wanazofanya wameshindwa kushulikia nafasi ya beki wa kati na pembeni. Wanahitaji mabeki wazuri na bora zaidi zaidi ya hawa waliopo sasa. Beki la kuanzisha mashambulizi, kupiga pass ndefu na fupi, kuruka n.k
Anza kutimua wachezaji na benchi la ufundi la simba.Amini nakwambia! Unatumia pesa nyingi sana katika timu hii Wachezaji wanalipwa Kwa wakati wanakula
Ila sasa wanacheza ovyo ovyo, yaani mchezaji hana nguvu za kukimbia uwanjani ndo nini
Fukuza, anza maisha mapya
Hata Fei Toto na Bangala ungewafukuza? Acha Masikhara ndugu yangu.Amini nakwambia! Unatumia pesa nyingi sana katika timu hii Wachezaji wanalipwa Kwa wakati wanakula
Ila sasa wanacheza ovyo ovyo, yaani mchezaji hana nguvu za kukimbia uwanjani ndo nini
Fukuza, anza maisha mapya