Nzelu za bwino
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 400
- 484
Salaam wana Jamvi.kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kunipa nafasi ya kukutana na nyie hapa Leo .nirudi kwenye mada yangu Mimi ningekua ndie mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama ningeanza nayafuatayo.
1.badala ya kuituhumu ,Mimi ningeipongeza kamati kuu kwa kusimamisha kidete ,na kusimamia chama KIPINDI chote kigumu chamiaka 6 siasa zilipozuiliwa.ningeishukuru kamati kuu kwa kuhakikisha umoja na mshikamano miongoni ya wana chama na Viongozi vinadumishwa.
2,ningewapongeza wanachama wote wa CHADEMA popote walipo kwa moyo wao wakusimama na chama KIPINDI chote mikutano na siasa za vyama zilipozuliwa.
3.ningeipongeza kamati kuu ,kwa kukubali kuingia kwenye maridhiano na serikali kama hatua ya kwanza kutafuta njia mbadala ya KUPATA madai ya wananchi japo haya kufanikiwa kwa asilimia 100.maana ni ukweli usiopingika kupitia maridhiano chama hakijatoka mikono mitupu Kuna madai Yao yamepatiwa ufumbuzi,ikiwemo kufutwa kesi zote za kisiasa,kuachiwa huru kwa watu waliokua kizuizini,kuruhusiwa mikutano ya kisiasa iendelee,,kurudi kwa wanasiasa waliokimbilia ughaibuni nk.
3.pia ningewatia moyo wajumbe wa kamati kuendelea na moyo wa kujitolea Ili kujiandaa na uchaguzi mkuu ujao katika ngazi ya udiwan, ubunge na urais .maana kujitolea sio jambo dogo.
4.baada ya kusema hayo ndipo sasa ningewaeleza wanachama yanayo nisukuma kugombea uwenyekiti.ikiwemo kuendeleza mazuri yote yaliyofanywa namwenyekiti aliyepo kwa kushirikiana na kamati kuu.
5.kuongeza chachu kwenye madai yote yaliyokuwemo kwenye maridhiano kuhakikisha yanatekelezwa yote.
6.kuimarisha umoja na mshikamano miongoni mwa wanachama pamoja nakupanua wigo wa kutafuta vyanzo vingine vya pesa.
7.kufanya marekebisho ya baadhi ya vifungu kwenye katiba Ili kuendana na wakati uliopo.
Nadhani hii njia isingeleta ukakasi kwa baadhi ya vviongozi na wanachama kwa ujumla.kuliko kuituhumu hadharan kamati kuu na Viongozi wengi bila ushahidi wowote.pia kuchafuana kwa tuhuma za rushwa zilizotokana na maneno ya marehemu Ambayo hayana ushahidi.maana hili linanikumbusha msemo usemao.muogope sana mtu anaetaka mazuri yote yawe ya kwake mabaya yote yawe ya wenzake .nawasilisha