NINGEKUWA MUNGU ninge wafanyia WANAFUNZ waliokosa LOAN yafuatayo....!

vice UDOM

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
204
Reaction score
9
wote ningewapa mkopo 100%, na wote waliofanya mkakosa kibarua kingeota nyasi.
 
Mtafute mungu yumo humu jamii forum umwambie...labda atakusikia kilio chako...........
 
Last edited by a moderator:
:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa unaongelea kisichowezekana
 
Kama wanaharakati tumejitahd kufatilia suala hl tangu mwanzo,kuanzia Bodi ya mikopo,wizara ya elimu,kwa Waziri mkuu,kwa Baba RIZ ila huko kote hatukpata msaada na majibu yenye tija,tumeamua kwenda MAKAO MAKUU CHADEMA,tumekutana na wakubwa akiwemo Mweshimiwa Mnyika,tumepewa ushauri kuwa jumanne tarehe 15,kamati za bunge zinaanza,tunatakiwa kuwepo pale posta BUNGE DOGO hasubuhi saa tatu tutakutana na WABUNGE wengne ili mchakato huu ujadiliwe kitaifaUpyaa,hvyo kama upo hapa dar au mkoani na kuna mtu anamfahamu tafadhali mwabalishe, tumeambiwa wingi wetu ndo utachangia suala hili kuonekana lina mashiko na kupatiwa suluhsho sio maswala ya KASUNGURA KADOGO. tufahamishane kwa pamoja linawezekana.NAWASILISHA
 
Wewe Kichaa kweli,Bora ungesema ungekuwa Rais,Yaan unatamani kuwa Mungu kwa ajili ya Mkopo tu? Astaghfirullah ee Mwenyezimungu Msamehe kiumbe hiki kinachpata Hamu ya Mamlaka yako.Ni kharam na makosa makubwa katika mazingira yoyote kuwa na Mawazo kama hayo ya kifedhuli, Kama ww ni Muislam Omba Toba katika siku ya leo ya Arafa kama dini zingine fuata taratibu zenu kuomba Toba lakin usifanye Mzaha katika hili!
 

Mwambie bna huyo dg anajitakia makuu....dadexa mbupu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…