Chendembe
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 444
- 488
Moto hauzimwi kwa petroli, Moto unazimwa kwa maji, mchanga na vitu ambavu si vilipuzi.
Serikali ndio mlinzi wetu kwa kutumia vyombo vyetu vya usalama.
Kwa vyovyote vile, haiingii akilini mtu kutuhumiwa na kujipa kazi ya kuhoji au kuchunguza. Majibu ya uchunguzi wa namna hii unaleta maswali mengi na kupelekea kukosekana kuaminika.
Busara ingenipeleka katika kuunda tume huru ya kimahakama ambayo ingekuwa yenye kuweka mambo bayana. Tume hiyo ndiyo ingemhoji mlalamikaji na wale wanaotuumiwa.
Serikali Ni watu na kila mpango lazima uwe na watekelezaji, na hawawezi jificha siku zote.