Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ndugu zangu wana Jukwaa, poleni kwa sote kwa yale yanayoendelea. Tuendelee kuweka nguvu zetu kwa panoja ili hatimaye hatua za uokoaji ambao serikali imeshaingilia kati ziweze kulete manufaa kwa wahanga.
Pamoja na hayo ni vema tukatumia wakati kama huu kabla watu jawajasahau( watanzania ni wepesi sana kusahau) kukumbushana umuhimu wa kuweka tahadhari au njia za kupambana na majanga ikiwa tayari yametokea.
Ni muhimu tukaelewa kuwa jiji la Dar ni tofauti sana na majiji mengine hapa tanzania hivyo linahitaji stratejia todauti kidogo.
Kihistoria kwa hivi karibuni tu kumetokea majanga kadha wa kadha ikiwemo
1. Kuungua soko la Machinga Karume
2. Kuungua Soko la Kariakoo
3. Mafuriko yatokanayo na mvua Maeneo ya mabondeni.
Ningekuwa kiongozi wa Baraza la Ulinzi na Usalama ningefanya haya
1. Kuhakikisha kuna idala thabiti ya majanga na yenye medical evacuation Ambulance
2. Kuhakikisha mipango na bajeti ya kuajiri na kuweka sawa kikosi cha uokoaji wakati wowote chenye weledi na uzalendo.
3. Kuwepo na vifaa vya uokoaji ktk matukio mbali mbali vinavyokaguliwa na kutunzwa kwa wakati wote( kama ambavyo warehouse za jeshi na polisi)
Wakati wa janga kama leo ningefanya haya
Bila kusubiri Agizo la Waziri wala Rais wa JMT
1. Kuhakikisha watu wote waliozagaa Kariakoo nawafagia waondoke na kuelekea makwao. Hii inaondoka hatari( risiki ya janga lingine). Imagine hapo watu wamejazana kukatokea hitilafu ya umeme na moto? Imagine jengo lingine likadondoka, imagine wasisiojulikana waliokuwa wanazagaa maeneo hayo wakiwa na vilipuzi?
2. Kumwaga Jeshi la vijana wa FFU na JKT kwa haraka sana ili kuondoa watu ktk maeneo ya tukio ili Entry na Exit routes ziwe paved kwa ajilinya ufanisi wa uokoaji kuingia na kutoka kwa vifaa maalumu.
3. Kumobilize emergenc3 evacuations kwa kutumia team kadhaa za serikali na za vituo binafsi kama Aga Khan, TMHS, Regency, Muhimbili na Saifee- wote wanatakiwa kuelekeza mchango wao hapo.