Ningekuwa na mamlaka Simba ningewafukuza Masoud na Manara

Sawa mwanahistoria wa Tanzania Football mi nakaa kimya.. Ila Mtalamu wa hizi historia unaonaje siku ukatupa darasani hapa JF? Ili nasi tulio weupe kwenye hilo suala tupate cha kuhadithia vijiweni.
Kwa kua hiii elimu ni adhimu tuko (naamini wapo na vilaza mwenzangu) tayari kukulipa kwa hilo.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Mkulu akituma utumbo kwenye account ya IG binafsi itachukuliwa binafsi sio...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…