chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Hizi timu kwa sababu ni za kiswahili swahili hazina budi kuwa na wasemaji kama manala,maneno mengi vitendo sifuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahaahaaa mkuu nimecheka kwa sauti sanaHizi timu kwa sababu ni za kiswahili swahili hazina budi kuwa na wasemaji kama manala,maneno mengi vitendo sifuri
Jitoe tu fahamu, lakini najua unanielewa vyema. Mpaka mzee wa miamala aachiliwe, mtakuwa nafasi ya 17Kumbe ndio biashara yenu Mkuu
Na sina hakika kama Mbao bado wanaye kipa yule ambaye muamala ukimpitia anatema mpira mbele ya wachezaji wa Koko FCKwamba wananunua wapinzani? [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Mbona kesi ya Malinzi itaisha sio muda mkuuJitoe tu fahamu, lakini najua unanielewa vyema. Mpaka mzee wa miamala aachiliwe, mtakuwa nafasi ya 17
Malinzi ndio huwa anaingia changing room ya Mbao, eti?Mbona kesi ya Malinzi itaisha sio muda mkuu
Yaani mkuu hizi timu bila wasemaji wa namna hiyo hatufiki maana waswahili tunapenda maneno,na manara analijua hilo ndiyo maana ni miongoni mwa wasemaji waliokaa muda mrefu msimbazi pia ni mhamasishaji yaani ni pr mzuri sana,kitendo cha kujaza uwanja sio mchezoahaahaaa mkuu nimecheka kwa sauti sana
wewe ndiye Manara mwenyewe ndio maana unatetea ugali wako!!!Wakuu tatizo la "De Le Boss" Manara ni lipi haswaa??
Kazi ya De Le Boss ni afisa habari na mawasiliano, na moja ya jukumu lake kuu ni kuhakikisha habari za timu zinawafikia walengwa kwa wakati muafaka. Na hapa anafanya vyema sana.
Kuhusu vijembe anavyotoa katika mitandao ya kijamii mi naona ni sawa tu kwa sababu anayafanya yote hayo katika page zake na si za timu.
NB: Alafu Simba SC ni Brand kubwa.. Inahitaji kua na Afisa habari mwenye makeke kama De Le Boss, Manara na si aliyepooza kama wa Ndala.
Umelieleza vyema sana hili suala.. Nadhani limeeleweka.Unamfukuzaje manara anayekuingizia zaidi ya milioni 200 kwa mechi moja refer mechi ya simba day msimu uliopita na msimu huu mdomo wake umechangia sana kuingiza fedha hizo,manara anaangushwa na wachezaji pia na uongozi ila kiuhalisia kipaji chake kikitumika kwa manufaa ya klabu nadhani hata kauwanja ka mazoezi katajengwa
Mkuu, unataka kusema wanachama wote wa Simba hawamtaki Manara? Kama, jibu ni hapana.. kwanini mimi nisiwe mmoja wapo nayekubali anachokifanya?wewe ndiye Manara mwenyewe ndio maana unatetea ugali wako!!!
Kumbe yapo hadi michezoni?Kwamba wananunua wapinzani? [emoji45] [emoji45] [emoji45]
MourinhoUmeshindwa hata kutaja makosa yao. Kwa sisi tusioona shida kwao tusaidie kujua. Masoud ana kosa gani?Haji anakosa gani?tukisema una chuki binafsi. Anayepanga kikosi ni kocha. Wajinga wachache wanasema Haji ana-overrate timu,huu ni usenge mbichi. Unataka Haji aseme timu yetu mbovu au ya kawaida?si wehu huu,taja kiongozi anaye underrate timu yake,hats kama ni ya Ndondo
Haji Manara kafanya kazi kubwa pia kuamsha hamasa ya mashabiki kuependa timu yao na ndo mana hivi sasa.. Kila Mnyama akiingia uwanjani, uwanja lazima ujae hadi pomoni, na hii ni kazi ambayo aliifanya kwa misimu miwili au mitatu iliyopita. Tumpe heshima yake.
Alafu timu hizi kubwa (Simba na 'mdogo wake' Ndala) zinahitaji maafisa habari wa kariba ya De Le Boss, Manara. Angalia Ndala baada ya kuondoka Muro, morali imeshuka miongoni mwa mashabiki. Just imagine Lipuli ikicheza inaingiza mashabiki wengi kuliko Ndala, kwa kifupi li timu la Ndala lipo lipo tu, halieleweki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thiimba hiiUnaizungumzia Simba SC ipi? Hawa mabingwa watetezi wa TPL, au?
Hahahaha Kwa hiyo huo ndio ukweli?Manara keshasema Washabiki Wa Simba hamjui mpira Bali mmejazana tu kwenye magroup ya Whatsap sahizi naona mmehamia na JF mnajadili mambo ya mpira msiyoyajua. Jamaa akipaniki huwa anaongea ukweli
Muongo wewe,kashawaambia hamjui mpira nyie ni mashabiki maandaziSimba tumeanza kuijadili JF kabla hata Manara hajaajiriwa Simba SC.
Taarabu aache Manara au huyu aliemnukuu?Aisee mkuu jifunze soka acha taarabu