Pre GE2025 Ningekuwa na uwezo ningevifuta kwenye uliwengu wa siasa vyama vyote vya upinzania Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata Kiongozi mmoja alipotaka kufa aliingiwa na ndoto ya kufuta mitandao yote ya jamii. Bila shaka kuna kinachobisha kwako pia.
 
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu ipo kila mahali na kila Sehemu na inakubalika na kupendwa na mamilioni ya watanzania kutokana na kugusa Maisha ya mamilioni ya watanzania.
Siku chama kingine kikishika dola utasifia hivi hivi.Mungu atupe uzima!
 
Siasa ni mbinu fulani hivi ya kitapeli ya kuwafanya wanachama wakusindikize kutimiza ndoto zako. Ndiyo maana wanasiasa wakipewa chance ya kura wanaichukua faster bila kujali kama wanachama wao wamepitia kipi.
Refer uchaguzi wa zanzibar, wananchi hadi kuawa ila wale waliokuwa wanawapigania wakipewa nafasi faster wanachukua na kutembea na vingora.
 
Una hoja
Upewe muda uifafanue ili wote tuwe na uelewa mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…