Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku chama kingine kikishika dola utasifia hivi hivi.Mungu atupe uzima!CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu ipo kila mahali na kila Sehemu na inakubalika na kupendwa na mamilioni ya watanzania kutokana na kugusa Maisha ya mamilioni ya watanzania.
Siasa ni mbinu fulani hivi ya kitapeli ya kuwafanya wanachama wakusindikize kutimiza ndoto zako. Ndiyo maana wanasiasa wakipewa chance ya kura wanaichukua faster bila kujali kama wanachama wao wamepitia kipi.Nakuamini unaposema Mbowe ni pandikizi. Ni juzi tu hapa Mbowe alikuwa anamtetea Samiah, Leo Samiah kamgeuka kaanza kuitisha maandamano uchwara na watu wakamsusia. Sasa hivi analazimisha CHADEMA iingie kwenye uchaguzi ili kulipa CCM uhalali wa kutawala.
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu ipo kila mahali na kila Sehemu na inakubalika na kupendwa na mamilioni ya watanzania kutokana na kugusa Maisha ya mamilioni ya watanzan
Una hojaTanzania hakuna vyama vya upinzania vyote ni ma agent wa CCM
Sema ndani ya upinzani Kuna baadhi ya watu makini ambao ningekuwa na uwezo ningevifuta vyama vyote vya upinzani na kuanzisha chama kimoja Cha kupambana na CCM.
Sio chadema sio act wazalendo sio cuf vyote vimejaaa majasusi wanaofanya kazi ya ccm kwa wengine kujua Kama ilivyo kwa Mbowe na Zitto na wengine kwa kutokujua
Ndio maana wengine wakigundua wanakimbilia CCM Kama ilivyo kwa kafulila na wenzie wote!!!
Hii nchi unaweza kutumikishwa bila kujua Kama unatumikiswa
Mpinzani pekee aliyebaki nchii hii ambaye ameisaliti system na kuamua kusimama na Watanzania ni Lissu tu!!
Vyama vyote ni matawi ya ccm huu ni ukweli mchungu ukitaka kujua hicho angalia ugumu wa kubadili mwenyekiti wa chama !!!
Siasa ya Tanzania ni ngumu kuliko siasa ya nchi yeyote duniani!!!