Ningekuwa na uwezo wanafunzi wangesoma Love Shuleni

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Ningekuwa na uwezo wanafunzi shuleni wangejifunza Love shuleni ili tupunguze matatizo yanayosabishwa na mapenzi na mahusiano...

Kama Reproduction wanaisoma basi na Love wangeisoma.

Wangesoma
1. Sifa za mapenzi ya kweli
2. Utajuaje kama mpenzi wako anakucheat
3. Jinsi ya kudumu kwenye mahusiano.
4. Kutambua kama unapenda/unapendwa.
5. Athari za mapenzi
6. Umuhimu wa mapenzi

Je, fikiria kama nawe uko darasani umepewa kufundisha?

Je, ungefundisha nini kuhusu mapenzi au ungewapa ushauri gani kuhusu mapenzi?
 
Mi ningewafunza kuwa na fikra pana zaidi na kuwaelimisha sio kuwakalilisha juu ya kumudu hisia zao.
 
Unge kuwa huna akili..
Kuchiti ndo nini Kwa Kiswahili?
Wanaotoka kwenye tamaduni za mwanaume
Anaoa wake wengi ungewaambia Ku chiti ndo kitu gani??
 
Ungana na Hashim Rungwe Spunda, muongezee hio sera maana kashaleta ya ubwabwa mashuleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…