zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Ningekuwa na uwezo wanafunzi shuleni wangejifunza Love shuleni ili tupunguze matatizo yanayosabishwa na mapenzi na mahusiano...
Kama Reproduction wanaisoma basi na Love wangeisoma.
Wangesoma
1. Sifa za mapenzi ya kweli
2. Utajuaje kama mpenzi wako anakucheat
3. Jinsi ya kudumu kwenye mahusiano.
4. Kutambua kama unapenda/unapendwa.
5. Athari za mapenzi
6. Umuhimu wa mapenzi
Je, fikiria kama nawe uko darasani umepewa kufundisha?
Je, ungefundisha nini kuhusu mapenzi au ungewapa ushauri gani kuhusu mapenzi?