Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Nilijua kama utauliza hili swali.chizi ni mtu asie na akili,ajui thamani yoyote ya maisha sembuse kujua thamani ya kutoa fedha ili akachukue form ya kugombea.
Hoja hakuna mimi naona siasa ni maslahi tu mtu yeyeto akipata hiyo fursa na apewe tu hakuna msafi hata 1 katika siasa ni lazima atafnya haramu tu kwa namna moja ama nyingine ni kumi kwa mmoja