Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Nilijua kama utauliza hili swali.chizi ni mtu asie na akili,ajui thamani yoyote ya maisha sembuse kujua thamani ya kutoa fedha ili akachukue form ya kugombea.
Kuna wagombea wameongoza kura za maoni kwa rushwa na maeneo kama Nyamagana Mwanza tumeshuhudia wafuasi wa Mabula wakigawana pesa za rushwa kutoka kwa mtia nia Mabula, Wananchi wa Jimbo la Nyamagana hawamtaki Mabula wanasema ni bora wampe Jimbo Komredi John Pambalu maana yeye anao uthubutu wa kuongea kuliko huyo kiazi Mabula, hapo utasemaje Mwenyekiti afumbie macho mambo kama hayo?Kama GENTAMYCINE ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya huu 'Mchakato' mzima wa Kura za Maoni ambazo zimefanyika kwa Uwazi zaidi huku zikionyesha kabisa kuwa wana CCM ' wameamua ' bila ' Ngendembwe / Hila ' zozote katika Kikao cha Maamuzi cha mwisho cha ' Watia Nia ' kwa nafasi ya Ubunge basi ningeamua mara moja kuwa ' Walioongoza ' ndiyo Wagombee.
Na kama tena GENTAMYCINE ndiyo ningekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya ' Kuwaonya ' wale ambao niliwapa ' Dhamana ' za Kuwa ama Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwa wasiende ' Kutia Nia ' kwakuwa bado nilikuwa nawahitaji katika Serikali yangu ' Tukufu ' na wakaenda kisha ' Wakatokota ' na ' Kuanguka ' vibaya nikiwa Rais tena sitowakumbuka hata kwa Nafasi za chini kabisa Kiutawala.
Kama Wewe unajijua ' Ulitia Nia ' hasa ya Ubunge na Kutokota na Uzi huu ' utakuchukiza ' nashauri hapo ulipo tafuta Sumu ya Panya Unywe Ufe!
Hapo sio sawa kuna baadhi ya Maeneo walioshinda katika Kura za maoni wamepita kirushwa kama huku kwetu kuna Mgombea UDIWANI kata ya Mwandege wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani Yupo juu ya sheria anagawa rushwa anatengeneza offis za Kata huku akiwa yeye ni Mgombea anaitwa mpemba or Nassoro ,situation km hii huyu akiongoza kura za maoni Tunapata sura gani?Uko sahihi kabisa.
Aliyepita kwenye kura za maoni ndio awe mgombea.
Sawa lakini ndani ya vyama kunatartibu ambazo vyama vimejiwekwa na hao wanaharamu.na sasa wanaamua kizufata kama walivyoziweka.wachujane mwenye nafuu apite asie na nafuu abaki.Hoja hakuna mimi naona siasa ni maslahi tu mtu yeyeto akipata hiyo fursa na apewe tu hakuna msafi hata 1 katika siasa ni lazima atafnya haramu tu kwa namna moja ama nyingine ni kumi kwa mmoja
Wengine wameshinda kwa rushwa, wengine mamluki.Kipimo changu Kikuu kwa Mwenyekiti Taifa wa CCM Rais Dr. Magufuli kitakuwa hapa na akiamua vinginevyo Heshima yangu Kwake itaisha rasmi.
Iam a lawyer by professional shell. I HV nothing to do with that cheap Indian race though I'm not a racist.
Basi nafanya kazi kwa wahindiIrrelevant and Hogwash.
Basi nafanya kazi kwa wahindi
Mkuu pm yako umefunga kuna jambo nahitaji msaada wako.natanguliza shukraniMbona hivi sasa Umeandika kwa Kiswahili tena badala ya kile Kiingereza chako cha Darasa la Tatu? au ulijua hiyo Lugha siijui na nilikimbia Shule?
Mkuu pm yako umefunga kuna jambo nahitaji msaada wako.natanguliza shukrani
Niliandikiwa,nasubili aje alieniandikia tuendeleze kidhunguMbona hivi sasa Umeandika kwa Kiswahili tena badala ya kile Kiingereza chako cha Darasa la Tatu? au ulijua hiyo Lugha siijui na nilikimbia Shule?
Anzisha chama chako ndio utoe amri hizo!!Kakuibia ' Chupi ' yako au? Mmekalia ' Umbea Umbea ' tupu. Walioongoza Kura za Maoni ndiyo hao hao wapitishwe tu Kugombea Ubunge period.
Mimi binafsi nimekuelewa.....Kama GENTAMYCINE ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya huu 'Mchakato' mzima wa Kura za Maoni ambazo zimefanyika kwa Uwazi zaidi huku zikionyesha kabisa kuwa wana CCM ' wameamua ' bila ' Ngendembwe / Hila ' zozote katika Kikao cha Maamuzi cha mwisho cha ' Watia Nia ' kwa nafasi ya Ubunge basi ningeamua mara moja kuwa ' Walioongoza ' ndiyo Wagombee.
Na kama tena GENTAMYCINE ndiyo ningekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya ' Kuwaonya ' wale ambao niliwapa ' Dhamana ' za Kuwa ama Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwa wasiende ' Kutia Nia ' kwakuwa bado nilikuwa nawahitaji katika Serikali yangu ' Tukufu ' na wakaenda kisha ' Wakatokota ' na ' Kuanguka ' vibaya nikiwa Rais tena sitowakumbuka hata kwa Nafasi za chini kabisa Kiutawala.
Kama Wewe unajijua ' Ulitia Nia ' hasa ya Ubunge na Kutokota na Uzi huu ' utakuchukiza ' nashauri hapo ulipo tafuta Sumu ya Panya Unywe Ufe!
Jimboni kwake Watu wanampenda Sana nilikua huko nimejionea mwenyewe.Nchambi hatabaki Salama.
Ona Waziri anaongelea rushwa aliyotoa bila aibu wala hofuHao majangili, mafisadi nk wapelekwe mahakamani haki itendeke, kamati ya CCM haina uwezo wa kuchunguza na kuhukumu mtu.
Ninavyomfahamu Bwana yule, jiandae kisaikolojia maana alishasema hapangiwi.Kipimo changu Kikuu kwa Mwenyekiti Taifa wa CCM Rais Dr. Magufuli kitakuwa hapa na akiamua vinginevyo Heshima yangu Kwake itaisha rasmi.
Hapana kuna watu wanasifa mbaya lkn wamepita.ni muhimu wachujwe. Waliopita kuna majangili, mafisadi, majambazi n,k.