Ningekuwa rais wa TFF Yanga wakishindwa kutokea na washusha daraja

Lwasu

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
1,304
Reaction score
1,234
Yaani ningekua rais wa TFF nangojea siku ambayo watani zangu vyuva FC wanayosema hawatakuja kucheza mechi, wasipotokea nawashusha hadi daraja.

Yaani nafanya kama nimejizima data hivi nawashushilia mbali....Ndoto zingine bwana!!!!
 
Sio rahisi kama unavyodhani
 
Yanga akishushwa daraja ata uchaguzi utakua mgumu Kwa ccm na hata Fujo znaweza tokeo ukielewa hili ujue tu tff hawana Cha kuwafanya yanga Wala simba
 
  • Thanks
Reactions: ARV
Yaani ningekua rais wa TFF nangojea siku ambayo watani zangu vyuva FC wanayosema hawatakuja kucheza mechi, wasipotokea nawashusha hadi daraja.

Yaani nafanya kama nimejizima data hivi nawashushilia mbali....Ndoto zingine bwana!!!!
Akiishusha daraja hiyo Yanga, na yeye siku inayofuata tutamkamata mara moja na kumsafirisha mpaka nyumbani kwao Kismayo Somalia.
 
Kwahy pia ungekuwa rais ungeishusha daraja ubaya ubwege walivyogoma kipindi kile?
 
Yaani ningekua rais wa TFF nangojea siku ambayo watani zangu vyuva FC wanayosema hawatakuja kucheza mechi, wasipotokea nawashusha hadi daraja.

Yaani nafanya kama nimejizima data hivi nawashushilia mbali....Ndoto zingine bwana!!!!
Ni Rahisi Sanaa Kumshusha Bibi yako Kuliko YANGA 😇😇😇😉😉😉
 
Yaani ningekua rais wa TFF nangojea siku ambayo watani zangu vyuva FC wanayosema hawatakuja kucheza mechi, wasipotokea nawashusha hadi daraja.

Yaani nafanya kama nimejizima data hivi nawashushilia mbali....Ndoto zingine bwana!!!!
Ndicho YANGA wanachotaka 'Kushushwa daraja'.

YANGA wakishushwa daraja hakuna tena Premier League Tanzania. Wadau wote kuanzia Wabunge, Wadhamini hawatakubali huo ujinga, Kituo cha Television (Azam) wamelipa na kuwekeza fedha nyingi kwa ajili ya hii ligi (nikisema ligi namaanisha Yanga na Simba). Pale BMT, TFF na Bodi ya ligi patawaka moto.
Hofu ya YANGA ni kunyang'anywa point 15 ambayo itaendelea kumuacha akiwa katika nafasi ya 3 ya msimamo wa ligi. YANGA anataka ashushwe daraja ili moto uwe mkubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom