Ningekuwa Raisi....

Ningekuwa Raisi....

torvic

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
3,978
Reaction score
9,841
Jf wekeni wishes zenu kama ungekuwa president! Ingekuwaje?
Lakini twendeni ki chit chat itapendeza zaidi na usitumia neno "vyuma kukaza" by any means

Mimi ningekuwa rais watu wangesoma chekechea hadi chuo kikuu bila vigezo vya kupata A, B, na C kwenye mitihani
 
Ningekuwa rais shule zote za kata ningezifanya vyuo vya ufundi ili vijana waandaliwe zaidi kujiajiri. Na kila tarafa ingekuwa na shule mbili tu za sekondari kwaajili ya vijana waliofaulu vizuri darasa la saba.(mtihani wa drs 7 usingekuwa wa kusiliba kama ilivyo sasa)
 
Back
Top Bottom