Namge
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,446
- 1,973
Mapenz yako ni ya unafki Mkuu...Upende na ua lake ,,,,lakn si kiivyo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenz yako ni ya unafki Mkuu...Upende na ua lake ,,,,lakn si kiivyo mkuu
PoleNilipo ingia chuoni kwa Mara ya kwanza nilukutana na mrembo mmoja mwenye asili ya kiarabu, mwenye rangi nzuri ambayo haina hata chembe ya kitu kinaitwa cream,
Sikutaka kukaa kimya na hisia zangu maana chuoni kuna watu wengi na wengi wanamtamani Yule kisura wangu. Nikaamua kumfungukia jinsi gani nimezimika kwake, alikubali kuwa nami ila akawa analalamika kuumwa karibu kila siku na haji chuoni kuudhuria vipindi, aliendelea hivyo hvyo mpaka siku moja nilipo mbana aniambie ukweli anatatizo gani ndipo alipo nambia ana mimba ya mwezi mmoja . Ambayo bila shaka ametoka nayo huko aliko toka .
Najiuliza kwanini alikubali kuwa na mimi na akijua ana mimba ya mtu mwingine ??
Lipi lilikuwa lengo lake haswaaa???
Ningeli jua hili kuwa nimjauzito wala nisinge zama kwenye penzi lake .
HahahaMimi ni hohehahe sina ngawira ila namshukuru mungu kuna wadada huwa wananioneaga huruma na kunipa siku moja moja mahaba ya hapa na pale!....mungu awaongezee mara saba sabini kwa kweli!