Ningependa kujua tafsiri ya msamiati 'Asasi'

Ningependa kujua tafsiri ya msamiati 'Asasi'

jabarijoka

Member
Joined
Jul 5, 2020
Posts
23
Reaction score
19
Napenda kujua tafsiri ya msamiati Asasi. Mara nyingi nimesikia wakisema Asasi ya Kiraia lakini Asasi ni nini sijajua bado.

Naomba kufahamishwa, I'm deep
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Omba msaada pia wa neno mala.

Asasi ni taasisi.

Lakini asasi linatumika kwenye taasisi zinazoisaidia(non-profit) jamii kielimu, afya, kilimo, kijamii n.k. ziwe binafsi au za serikali.
 
Ngoja waje wenyewe maana nikisema nitoe tafsiri ninayoifikiria patachimbika hapa kwanza nishahisi ubaya ubaya maana nilivyosoma tu neno asasi nikawaza lile kundi la kigaidi.. kesho naacha kula ndumu..😅
 
Napenda kujua tafsiri ya msamiati asasi
Mala nyingi nimesikia wakisema asasi ya kiraia
Lakini asasi Ni nini sijajua bado
Naomba kufaamishwa I'm deep
[emoji120][emoji120][emoji120]

Napenda kujua tafsiri ya msamiati asasi
Mara nyingi nimesikia wakisema asasi ya kiraia
Lakini asasi Ni nini sijajua bado
Naomba kufaamishwa I'm deep
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Napenda kujua tafsiri ya msamiati asasi
Mala nyingi nimesikia wakisema asasi ya kiraia
Lakini asasi Ni nini sijajua bado
Naomba kufaamishwa I'm deep
[emoji120][emoji120][emoji120]
Jumuiya

Jr[emoji769]
 
Asasi ni chombo kikubwa kama vile shirika kinachojishughulisha na utoaji wa huduma za kijamii kama vile afya na elimu, zipo zinazosimamiwa na watu binafsi na za serikali.
 
Maana ya Asasi [emoji116]
Screenshot_20200726-184817_Chrome.jpg
Screenshot_20200726-184738_Chrome.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20200726-184738_Chrome.jpg
    Screenshot_20200726-184738_Chrome.jpg
    39.5 KB · Views: 10
Back
Top Bottom