mpuko
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 662
- 552
- Thread starter
- #21
Kuasi majeshi au kuanzishwa kikundi cha magaidi ina sababishwa na vitu vingi sana.
Inaweza kuwa ni maswala binafsi au vikundi vinaanzishwa na nchi nyingine ili kupata maslahi fulani sehemu husika.
Al-shabab na Boko Haramu ni vikundi vimeanzishwa kwa maslahi ya kidini hivyi ni jukumu lao kujua silaha wanapata wapi, by any means wananunua au wanapewa na michango inayokusanywa na dini husika.
M23 ni moja ya vikundi vilivyoanzishwa na nchi jirani kwa maslahi ya nchi nyingine, hivyo wanapewa na na hao walio waanzisha.
Kuna wale wanaohasi jeshini, hao wanaondoka na silaha jeshini.
I STAND TO BE CORRECTED
Ahsante mkuu.