kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,839
- 2,475
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri Dada skyMwili unakosa genetics za coagulation hivyo kukosa uwezo wa kugandisha damu. Hatari yake ukipata ajali danu itatoka mpaka unaangalia dunia kwa kuwa dehydrate.
Hautibiki lakini unaweza kuwekeza blood clotting factors zikakusaidia.
Asante doctor barikiwa mno..Mwili unakosa genetics za coagulation hivyo kukosa uwezo wa kugandisha damu. Hatari yake ukipata ajali danu itatoka mpaka unaangalia dunia kwa kuwa dehydrate.
Hautibiki lakini unaweza kuwekeza blood clotting factors zikakusaidia.
Mimi si daktariAsante doctor barikiwa mno..
Mwili unakosa genetics za coagulation hivyo kukosa uwezo wa kugandisha damu. Hatari yake ukipata ajali danu itatoka mpaka unaangalia dunia kwa kuwa dehydrate.
Hautibiki lakini unaweza kuwekewa blood clotting factors zikakusaidia.
Sky EclatHee. Kumbe[emoji87]
Wee ni nani hasa [emoji134]
Hilo ni jina mi nimeuliza kitaalumaSky Eclat
Sina utaalamu mkuu ninapika chapati tamu sanaHilo ni jina mi nimeuliza kitaaluma
Wapi nije kununua nazipenda sanaSina utaalamu mkuu ninapika chapati tamu sana
Huku kwetu KwamtogoleWapi nije kununua nazipenda sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sina utaalamu mkuu ninapika chapati tamu sana
Kulia kwa kituo cha polisi nenda mbele ukate kushoto ya kwanza utanionaNipo hapa kituo cha polisi kwa Alimaua, bado zipo nizifuate?
Ok nitakujaHuku kwetu Kwamtogole
Haemophilia nini sababu na jinsi yya kuepuka machapisho mengi naona yako kwa lugha ya malkia ambayo sielewi vizuri.
Hapana kuna mtu kapata na una madhara kwa wanaume zaidiMkuu Unautamani Huu ugonjwa au?