ningependa kujuzwa huu ni ugonjwa gani?

ningependa kujuzwa huu ni ugonjwa gani?

kinyama nje

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
1,839
Reaction score
2,475
Haemophilia nini sababu na jinsi yya kuepuka machapisho mengi naona yako kwa lugha ya malkia ambayo sielewi vizuri.
 
Mwili unakosa genetics za coagulation hivyo kukosa uwezo wa kugandisha damu. Hatari yake ukipata ajali damu itatoka mpaka unaaga dunia kwa kuwa dehydrate.
Hautibiki lakini unaweza kuwekewa blood clotting factors zikakusaidia.
 
Mwili unakosa genetics za coagulation hivyo kukosa uwezo wa kugandisha damu. Hatari yake ukipata ajali danu itatoka mpaka unaangalia dunia kwa kuwa dehydrate.
Hautibiki lakini unaweza kuwekeza blood clotting factors zikakusaidia.
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri Dada sky
 
Mwili unakosa genetics za coagulation hivyo kukosa uwezo wa kugandisha damu. Hatari yake ukipata ajali danu itatoka mpaka unaangalia dunia kwa kuwa dehydrate.
Hautibiki lakini unaweza kuwekeza blood clotting factors zikakusaidia.
Asante doctor barikiwa mno..
 
Mwili unakosa genetics za coagulation hivyo kukosa uwezo wa kugandisha damu. Hatari yake ukipata ajali danu itatoka mpaka unaangalia dunia kwa kuwa dehydrate.
Hautibiki lakini unaweza kuwekewa blood clotting factors zikakusaidia.

Aiseee! utajuaje kama una tatizo hili? dalili zake?
 
Back
Top Bottom