Uchaguzi 2020 Ningependa kuona wananchi tunapewa nafasi za kuwauliza maswali wagombea urais kwenye kampeni zao

Hili Jambo la wagombea kutowapa wananchi nafasi walau tano za kuwauliza maswali katika kampeni zao ni uwoga wao au haipogo hi kitu kwa mujibu wa Sheria za kampeni?
Ona huyu alivyobanwa na anavyojikanyaga
 
Hili Jambo la wagombea kutowapa wananchi nafasi walau tano za kuwauliza maswali katika kampeni zao ni uwoga wao au haipogo hi kitu kwa mujibu wa Sheria za kampeni?
Hata mimi nataka iwe ivyo sio mtu anabwabwaja tu hii sio haki
 
Gwajima very smart. Mdee zaidi ya ile sauti yake ngumu amewasaidia nini watu wa Kawe?. Ndio maana safari hii hatutaki betri nzuri na magunzi.
Aisee kama huo ndio u smart basi bado tuna safari ndefu sana
 
Back
Top Bottom