Ningependa mchana huu chakula hiki anipikie Seran

Mbona unakuwa mjinga na mpumbavu mkuu .....
Unampenda mtu humjui ? Hujawahi kumuona ? Hujui hata background ama status yake ?

Just kuona threads na comments zake umempenda ? How?

Tuna shida kubwa sio kidogo, ndio maana lile lijamaa la marekani lilisema tunahitaji kutawaliwa tena ... shit_hole



Seran njoo mchukue mumeo mama
 
Mbona wangu ninaye huku ndani kafikaje tena huku😱
 
Mkuu una kichaa? Unampenda mtu au ID yake hapa? Acha upuuzi
Ila sio kosa lake kupenda kivyovyote

Kila mtu Ana style yake ya kupenda wakuu muacheni na hisia zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…