Ninunue mimi wewe ukiwa wapi?Mimi ninunue simu kali au wewe๐๐๐ kaone
Oya huyu jamaa alikuwa anajiitaje mwanzo? Nijuze tafadhali kabla sijam....Siku hizi umeacha kugawa mavi kwenye pm za watu?
๐คฃ๐คฃ
UMebadirisha jina anajiita kanitomb๐ค, yani anawaita wenyewe๐คฃ๐คฃ
secretarybird
Chizi Maarifa
Castle_Lite
Mbaga Jr
eli -DEFIANT- cohen
Huyu kijana nasikia sio riziki๐ค
Simu kali inapandana na simu kali, picha yangu imefifia kizembe sana ๐๐ tuma kama hii nikupe mia๐Ninunue mimi wewe ukiwa wapi?
Nakuwa nimekupiga mimi au? Na hayo makebo niyabandike?Simu kali inapandana na simu kali, picha yangu imefifia kizembe sana ๐๐ tuma kama hii nikupe mia๐View attachment 3586679
๐๐ kamwe zako ziwezi ziweka maisha , il nataka tu uchukie hiyo picha utume tena tuone unatumia simu gan seran wangu ๐Nakuwa nimekupiga mimi au? Na hayo makebo niyabandike?
Hahhaa sasa ili iweje? mi nazitoa wapi nilizokupiga kwa simu yangu?๐๐ kamwe zako ziwezi ziweka maisha , il nataka tu uchukie hiyo picha utume tena tuone unatumia simu gan seran wangu ๐
Mimi zote nimekupiga unawaka kwa sababu natumia simu kali na wewe ni mzuri pia๐Hahhaa sasa ili iweje? mi nazitoa wapi nilizokupiga kwa simu yangu?
Ipi hiyo inayowaka? Hebu niione!Mimi zote nimekupiga unawaka kwa sababu natumia simu kali๐
Hahahaha siwezi fanya hivyo , ila umenipunja sana kasimu kako ๐๐Ipi hiyo inayowaka? Hebu niione!
Sawa andika bango kubwa hapo chini๐Hahahaha siwezi fanya hivyo , ila umenipunja sana kasimu kako ๐๐
Jikubali mwenyewe usisubiri wajuaji wa humu wakukubali hiyo haipo!Kaone wewe ni mwanangu sana , siwezi fanya hivyo ila selfika kuna siku nilipost wadada wakadisi rangi yangu sirudi tena๐ ๐ค
Sawa sawaJikubali mwenyewe usisubiri wajuaji wa humu wakukubali hiyo haipo!
Shauri yakoAnhaaaa!!!! Kama ni fungu langu atakua wangu tu hamna haja ya mikazo mingi.
Nikiamua kuingia miguu yote natia team kwa venye wako matured enough kama wewe.Shauri yako
Ni wewe tu na promo yako ukitaka iwe kali zaidi tunaiita connection ya kada wa chamaHivi ni shingapi kuitoa mkuu! Mbona kama ujira huu๐ค
Huenda ukapishana na gari la mshaharaNakijulia wapi mimi mkuu
Umenipa wazo zuri sana ntalifanyia kazi๐Ni wewe tu na promo yako ukitaka iwe kali zaidi tunaiita connection ya kada wa chama
Nyie waalimu mnaodanganywa mamikopo kibao mnabaki na take home laki 2? Unataka kunichumia dhambi ya bure tu๐Huenda ukapishana na gari la mshahara
NB; walimu pesa bado tunazo karibu
Amna tukiungana tunakua mwili mmoja pesa tutatumia ata za kwako na urithi wako kutoka kwa mzee shayoNyie waalimu mnaodanganywa mamikopo kibao mnabaki na take home laki 2? Unataka kunichumia dhambi ya bure tu๐
Fikiria yaan apo inaanzishwa website kabisa maana kwa hili wabongo tuko nyuma wakenya wanalinga sanaUmenipa wazo zuri sana ntalifanyia kazi๐