Ningependa mchana huu chakula hiki anipikie Seran

Mbona unang'aka kwa gadhabu kiasi hicho mkuu? Au wewe ndio huyo Seran mwenyewe umekuja kumshushia vinu kwa ID nyingine sababu haumuelewi?
 
Kweli kabisa.
After all Seran mwenyewe anasikia raha 'kundondokewa' na mijamaa ya humu JF.
Wanawake wengi hujisikia vizuri wakitongozwa, wakiona hawafuatwi wengi wanajiona wana mkosi.

Nasikia wanajisikia ujiko sana kutongozwa l, kusemeshwa na wanaume kujigonga. Na hilo halina umri nasikia hata wazee, wanapenda sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…