Mzima kabisa mkaka!Ewaaa ona sasa.... fanya kumtagi mleta mada...... mzima lakin mdada!!!
Na sio lazima apendwe ila conclusion imeshafanyika na wajomba wa mpendwa🤣anaependa ni mwingine na anae pendwa ni mwingine ila wanao kasirika ni wengine yani humu ndani sijui ni wivu au chuki zisizo na maana 🤦♀️🤦♀️,,, kupenda ni free muacheni mkaka wa watu khaaa
Nzugu shi mu PMBora hata umekuja jamaa analalamika mfungulie PM
Bhebhe kwitake?🤭Nzugu shi mu PM
Wajomba watu wabad sana.😂😂😂😂Na sio lazima apendwe ila conclusion imeshafanyika na wajomba wa mpendwa🤣
yaan ni hatari😄Na sio lazima apendwe ila conclusion imeshafanyika na wajomba wa mpendwa🤣
Kwenye moja na mbiliWajomba watu wabad sana.😂😂😂😂
Kwakweli hili litatokea hata kama we sio nabii🤣 nyuzi zitachafukwa sio poa🤭Kesho utapandishwa uzi anashinda pm kuomba elfu 3😂
Na sio lazima apendwe ila conclusion imeshafanyika na wajomba wa mpendwa🤣
😅😅 kwaiyo wanatuigizia hapa mapenzi ya kihindiHana haja ya kupiga ndumba, Seran na yeye kashamwelewa huyu jamaa. Yeye eende akatupe ndoano. 😁
Nzogo tuzenge numbaBhebhe kwitake?🤭
Kwakweli Atakoma aisee!🤭Hamna, mimi sijahusishwa. Mimi nataka huyu bwana afikiriwe, asikilizwe.
Nizengile bhebhe😁Nzogo tuzenge numba
Prime minister?
Sawa nitakupa kila kituNizengile bhebhe😁
Relax nyandone!Sawa nitakupa kila kitu