NaumwaMhmm umekuja tena jf bila kusalimia wakubwa kaone
Hahahaha sio muongeaji tu bwashee , mimi nikichaa kabisa halafu , naishi kwa akili mingi sana , mpaka nawaonea wivu watoto watakao zaliwa na mimiπππππ na Seran kanifundisha bangi mtakomakumbe na wewe muongeaji hivi mkuu...!!
hahahahahahahahahahha.........
Unajua pa kunisaka mama naniNaumwa
Hivi unagusaga mapombe makali?.Mno nakula pombe 24hrs , kumaliza pesa halafu nife ila naona sihishiwi badoπ
Nitakupata wapi zaid ya jf au kwangu unapajua?Unajua pa kunisaka mama nani
Yeah mara moja moja kama hivi bwashee, leo nimemtumia mama yangu kipenzi siku ya kina mama mil 1 na laki 8 ya kulewa tu kwanini nisijipongeze na mimi pia?πHivi unagusaga mapombe makali?.
Mimi mbona hujanitumiaYeah mara moja moja kama hivi bwashee, leo nimemtumia mama yangu kipenzi siku ya kina mama mil 1 na laki moja na laki 8 ya kulewa tu kwanini nisijipongeze na mimi pia?π
Vipi sasa jioni hiii dinner au mpaka nikufungulie thread!π π π kaaziii ipooooo
Anhaaaa!!!! Kama ni fungu langu atakua wangu tu hamna haja ya mikazo mingi.We tatizo hukazi shauri yako
Komaaqπ€£π€£π€£
Hahahaa siku moja nitawablessππMimi mbona hujanitumia
Enjoy bro.Yeah mara moja moja kama hivi bwashee, leo nimemtumia mama yangu kipenzi siku ya kina mama mil 1 na laki 8 ya kulewa tu kwanini nisijipongeze na mimi pia?π
Mimi na naniHahahaa siku moja nitawablessππ
Na marafiki zangu πMimi na nani
Mimi na nani
Alinikimbia nimeqchana nae mademu wapo wengiHivi ulifanikiwa kuona CV ya Marry Diana?ππππ
Marry Diana sijui ana tatizo gani yule dadaHivi ulifanikiwa kuona CV ya Marry Diana?ππππ
Mzima mith yuu!Safi sukari yao mzma
MsalimieeeHahahaha chache namwachia A π π asije kuwa pisi kali na pesa hanaπ
π π haina haja ya threadVipi sasa jioni hiii dinner au mpaka nikufungulie thread!