SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wazee wa vinyesi wanataka hili jambo lao lishughulikiwe personally na Rais Samia tena haraka ili takadini aungurume siku ya mwananchi la sivyo nchi haitatawalika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea point ya maana sana kuna haja ya TFF kuangalia upya kanuni zake na kuacha ushabiki, Yanga wanapaswa kukata rufaa katika mamlaka za juu za soka.Moja kwa moja kwenye mada,
Toka kutolewa kwa hukumu iliyomfungia aliyekua msemaji wa klabu ya yanga ndugu Haji Sunday Manara kumekua na makundi mawili ama moja linahisi Manara ameonewa ama jingine linahisi TFF wapo sahihi
Nirudi nyuma kidogo kuwakumbusha mashabiki wa mpira kua sheria yoyote ya taasisi yoyote ile ndani ya Tanzania haikinzani na katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa mantiki hiyo katiba yetu ndio sheria mama ya sheria zote hapa nchini
Kwa kua sheria na kanuni za TFF zilitumika kumuadhibu kiongozi huyu wa kabumbu hapa nchini sanjali na zile zilizotumika pia kuwaadhibu kocha Mbwana Makata wa Dodoma jiji na mtangazaji Shafi Dauda ni kanuni hizo hizo za TFF
Kwa heshima na taadhima nimshauri ndugu yangu Haji Manara afuate sheria na kanuni zile zile za TFF kuitafuta haki yake kama anahisi ameonewa
Ipo wazi na ifahamike mlalamikaji baada ya hukumu kupita alipewa fursa ambayo ni haki yake kimsingi kukata rufaa ndani ya muda uliowekwa kisheria na yeye mwenyewe anajua kua muda huo ukipita hakuna cha ziada kwake zaidi ya watoa hukumu kukoleza wino wa hukumu hiyo
Jambo ambalo wanafamilia ya mpira wanapaswa kumshauri haji ni kwamba malumbano anayoyaendeleza kwenye media na kutafuta uungwaji mkono na followers wengi ni kupoteza muda tu kusiko na msingi wowote
Aidha ipo hoja ya msingi ya Manara kwamba Karia alimtukana n.k, kama Sunday anaona iko hivyo anapaswa kutumia sheria zile zile kumshtaki Karia na kwa kua sheria ni msumeno karia ataitwa mbele ya jopo na ushahidi wa Manara utasikilizwa na hukumu itatolewa ikishindikana atakata rufaa kwenye vyombo vyenye mamlaka zaidi n.k
Mwisho kabisa nimeona mahali Haji manara anamtaka waziri wa michezo kuingilia kati suala lake na TFF akiamini kwamba mwanasiasa huyu atainfluence maamuza ya TFF dhidi yake
Nimuombe Manara aachane na majaribio ya namna hiyo kwani sheria za mpira Duniani "FIFA" zinaharamisha kabisa masuala ya hukumu za kisoka kuingiliwa na wanasiasa na moja ya adhabu ni kuifanya nchi husika kufungiwa kushiriki michuano yoyote inayotambulia na chombo jicho cha kuendesha kandanda la Dunia
Niseme tu watanzania tunaupenda mpira na hatupo tayari kwa hilo na nawashauri watanzania tuufunge mjadala wa Manara kwa kumshauri asitafute suluhu ya jambo "lake" kwa kuitisha press za mara kwa mara ama kulalamika juu ya maamuzi fulani bali afuate taratibu za kisheria hata ikiwezekana kimya kimya akate rufaa ama vinginevyo
Hayo ndio yanafanyika hata kwenye hukumu za raia kwenye mahakama za kiraia, hutapata haki yako kwa kurandaranda huku na kule kudai uamuzi wa mahakama si sahihi
Nawasilisha
Hapo namba 3 mkuu umepuyangaTFF NA 'KICHEKESHO' CHA SAKATA LA HAJI MANARA
Mbali na mambo mengine katika sakata hilo, bado pia kuna mengine ambayo ni pamoja na haya yafuatayo:
(1) Katika Kanuni zote za adhabu za TFF, hakuna hata moja ya kumtoza mtu shilingi milioni 20;
(2) Katika mashtaka yale, mlalamikaji alipaswa awe Wallace Karia mwenyewe na siyo Sekretarieti ya TFF ambayo ndiyo inailipa posho zote Kamati ya Maadili, hivyo lazima itekeleze maelekezo inayoielekeza kama mwajiri.
Hapa kwa tafsiri nyingine, mlalamikaji hakuwa Karia ila Sekretarieti ya TFF ambayo haijasema inahusikaje na ugomvi wa Manara na Karia wala kuwa ina maslahi gani na malumbano hayo, hasa pale ambapo yule anayedaiwa kudhalilishwa hakulalamika.
Mwisho katika hili, kwa vile Kamati ya Maadili inalipwa posho zote za shughuli zake na Sekretarieti ya TFF zikiwemo za kusikiliza mashtaka, hapa maana yake ni kwamba yenyewe ndiyo iliyokuwa mlalamikaji, shahidi wa upande wa mashtaka na hakimu aliyetoa hukumu hiyo;
(3) Karia aliyepaswa awe ndiye shahidi mkuu wa upande wa mashtaka, kisha wengine wote wabaki kuwa mashuhuda, lakini hakuitwa wala kufika ili kutoa ushahidi wake;
(4) Kamati ya Maadili ya TFF haijasema chanzo cha Manara kufanya hivyo wala haijataja mashahidi waliofika mbele yake ili kutoa ushahidi wao dhidi ya Manara.
Hii ni kwa sababu, inawezekana Manara alikuwa anajihami au kujibu mapigo baada ya kuchkozwa, kutukanwa au kudhalilishwa kwanza na Karia; na
(5) Kwa mujibu wa Sheria za TFF, anayefikishwa katika Kamati ya Maadili kwa masuala ya soka ni kiongozi wa kuchaguliwa wa Klabu, Chama cha Soka cha ngazi yoyote, chombo cha Shirikisho la Soka au mwenye nafasi ya kuteuliwa iliyopo kwenye muundo wa Shirikisho la Kandanda Duniani au FIFA.
Nafasi ya "Mhamasishaji" kama aliyonayo Manara haipo katika muundo wa FIFA, hivyo anaweza tu kuwa ni shabiki wa Yanga ambaye hawezi kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF ila mahakamani kama alimdhalilisha Karia.
Alipaswa ashtakiwe Kituo cha Polisi na Karia mwenyewe, kisha apelekwe mahakamani kama mtu binafsi na mlalamikaji akawe shahidi wa Jamhuri kama mtu binafsi na siyo kama Rais wa TFF.
Katika kutekeleza mfumo na muundo wa FIFA, Yanga yenyewe ina Afisa Habari wake, Hassan Bumbuli. Huyo ndiye anaweza kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF.
Kutokana na hali hiyo na hata vinginevyo, swali linalozuka hapa ni je, tangu lini Manara ni kiongozi wa kuchaguliwa au afisa wa kuteuliwa wa Yanga kwa kuzingatia muundo wa FIFA?
Ni cha kujifunza hapa na kukishika kila mshabiki na kukipigia kelele siku zote hadi Manara atakapoachiwa huru ni wajibu ni kwa nini mashabiki au shabiki anaporusha chupa ya maji uwanjani inaazibiwa klabu na si mhusika why Manara ahukumiwe kama yeye wakati anaipigania timu.
Kesi hii tutashinda kabla ya tar.6.8.2022.Tumuombe Mungu
Ila zilivyotumika kwa wengine hili swali mliliweka mataclen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kanuni zilizotumika kumuhukumu zimesajiliwa?
Nenda taratibu, kama kuna mwingine alihukumiwa kwa kanuni batili ni wajibu wake kupambania hilo yeye mwenyewe kama huyo manara anavyojipambania mwenyewe.Ila zilivyotumika kwa wengine hili swali mliliweka mataclen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Shida ni ule mwiko uliochomolewa na Coastal Union Mara tatu....hatimae Kimba Fc jasho liliwatoka Mamaaeee..Wewe na Karia hamna akili ma shoger nyie
Shida ni ule mwiko uliochomolewa na Coastal Union Mara tatu....hatimae Kimba Fc jasho liliwatoka Mamaaeee..
Ushauri mzuri Tatizo la Manara ujuaje mwingi anajifanya kila kitu cha hapa Duniani anakijua mie namshauri Baba yake Amtulize kijana wake karukwa na ubongoMoja kwa moja kwenye mada,
Toka kutolewa kwa hukumu iliyomfungia aliyekua msemaji wa klabu ya yanga ndugu Haji Sunday Manara kumekua na makundi mawili ama moja linahisi Manara ameonewa ama jingine linahisi TFF wapo sahihi
Nirudi nyuma kidogo kuwakumbusha mashabiki wa mpira kua sheria yoyote ya taasisi yoyote ile ndani ya Tanzania haikinzani na katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa mantiki hiyo katiba yetu ndio sheria mama ya sheria zote hapa nchini
Kwa kua sheria na kanuni za TFF zilitumika kumuadhibu kiongozi huyu wa kabumbu hapa nchini sanjali na zile zilizotumika pia kuwaadhibu kocha Mbwana Makata wa Dodoma jiji na mtangazaji Shafi Dauda ni kanuni hizo hizo za TFF
Kwa heshima na taadhima nimshauri ndugu yangu Haji Manara afuate sheria na kanuni zile zile za TFF kuitafuta haki yake kama anahisi ameonewa
Ipo wazi na ifahamike mlalamikaji baada ya hukumu kupita alipewa fursa ambayo ni haki yake kimsingi kukata rufaa ndani ya muda uliowekwa kisheria na yeye mwenyewe anajua kua muda huo ukipita hakuna cha ziada kwake zaidi ya watoa hukumu kukoleza wino wa hukumu hiyo
Jambo ambalo wanafamilia ya mpira wanapaswa kumshauri haji ni kwamba malumbano anayoyaendeleza kwenye media na kutafuta uungwaji mkono na followers wengi ni kupoteza muda tu kusiko na msingi wowote
Aidha ipo hoja ya msingi ya Manara kwamba Karia alimtukana n.k, kama Sunday anaona iko hivyo anapaswa kutumia sheria zile zile kumshtaki Karia na kwa kua sheria ni msumeno karia ataitwa mbele ya jopo na ushahidi wa Manara utasikilizwa na hukumu itatolewa ikishindikana atakata rufaa kwenye vyombo vyenye mamlaka zaidi n.k
Mwisho kabisa nimeona mahali Haji manara anamtaka waziri wa michezo kuingilia kati suala lake na TFF akiamini kwamba mwanasiasa huyu atainfluence maamuza ya TFF dhidi yake
Nimuombe Manara aachane na majaribio ya namna hiyo kwani sheria za mpira Duniani "FIFA" zinaharamisha kabisa masuala ya hukumu za kisoka kuingiliwa na wanasiasa na moja ya adhabu ni kuifanya nchi husika kufungiwa kushiriki michuano yoyote inayotambulia na chombo jicho cha kuendesha kandanda la Dunia
Niseme tu watanzania tunaupenda mpira na hatupo tayari kwa hilo na nawashauri watanzania tuufunge mjadala wa Manara kwa kumshauri asitafute suluhu ya jambo "lake" kwa kuitisha press za mara kwa mara ama kulalamika juu ya maamuzi fulani bali afuate taratibu za kisheria hata ikiwezekana kimya kimya akate rufaa ama vinginevyo
Hayo ndio yanafanyika hata kwenye hukumu za raia kwenye mahakama za kiraia, hutapata haki yako kwa kurandaranda huku na kule kudai uamuzi wa mahakama si sahihi
Nawasilisha
Yanga inakuwaje mnaajiri mtu kwa nafadi ambayo haitambuluki wajinga ninyiTFF NA 'KICHEKESHO' CHA SAKATA LA HAJI MANARA
Mbali na mambo mengine katika sakata hilo, bado pia kuna mengine ambayo ni pamoja na haya yafuatayo:
(1) Katika Kanuni zote za adhabu za TFF, hakuna hata moja ya kumtoza mtu shilingi milioni 20;
(2) Katika mashtaka yale, mlalamikaji alipaswa awe Wallace Karia mwenyewe na siyo Sekretarieti ya TFF ambayo ndiyo inailipa posho zote Kamati ya Maadili, hivyo lazima itekeleze maelekezo inayoielekeza kama mwajiri.
Hapa kwa tafsiri nyingine, mlalamikaji hakuwa Karia ila Sekretarieti ya TFF ambayo haijasema inahusikaje na ugomvi wa Manara na Karia wala kuwa ina maslahi gani na malumbano hayo, hasa pale ambapo yule anayedaiwa kudhalilishwa hakulalamika.
Mwisho katika hili, kwa vile Kamati ya Maadili inalipwa posho zote za shughuli zake na Sekretarieti ya TFF zikiwemo za kusikiliza mashtaka, hapa maana yake ni kwamba yenyewe ndiyo iliyokuwa mlalamikaji, shahidi wa upande wa mashtaka na hakimu aliyetoa hukumu hiyo;
(3) Karia aliyepaswa awe ndiye shahidi mkuu wa upande wa mashtaka, kisha wengine wote wabaki kuwa mashuhuda, lakini hakuitwa wala kufika ili kutoa ushahidi wake;
(4) Kamati ya Maadili ya TFF haijasema chanzo cha Manara kufanya hivyo wala haijataja mashahidi waliofika mbele yake ili kutoa ushahidi wao dhidi ya Manara.
Hii ni kwa sababu, inawezekana Manara alikuwa anajihami au kujibu mapigo baada ya kuchkozwa, kutukanwa au kudhalilishwa kwanza na Karia; na
(5) Kwa mujibu wa Sheria za TFF, anayefikishwa katika Kamati ya Maadili kwa masuala ya soka ni kiongozi wa kuchaguliwa wa Klabu, Chama cha Soka cha ngazi yoyote, chombo cha Shirikisho la Soka au mwenye nafasi ya kuteuliwa iliyopo kwenye muundo wa Shirikisho la Kandanda Duniani au FIFA.
Nafasi ya "Mhamasishaji" kama aliyonayo Manara haipo katika muundo wa FIFA, hivyo anaweza tu kuwa ni shabiki wa Yanga ambaye hawezi kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF ila mahakamani kama alimdhalilisha Karia.
Alipaswa ashtakiwe Kituo cha Polisi na Karia mwenyewe, kisha apelekwe mahakamani kama mtu binafsi na mlalamikaji akawe shahidi wa Jamhuri kama mtu binafsi na siyo kama Rais wa TFF.
Katika kutekeleza mfumo na muundo wa FIFA, Yanga yenyewe ina Afisa Habari wake, Hassan Bumbuli. Huyo ndiye anaweza kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF.
Kutokana na hali hiyo na hata vinginevyo, swali linalozuka hapa ni je, tangu lini Manara ni kiongozi wa kuchaguliwa au afisa wa kuteuliwa wa Yanga kwa kuzingatia muundo wa FIFA?
Ni cha kujifunza hapa na kukishika kila mshabiki na kukipigia kelele siku zote hadi Manara atakapoachiwa huru ni wajibu ni kwa nini mashabiki au shabiki anaporusha chupa ya maji uwanjani inaazibiwa klabu na si mhusika why Manara ahukumiwe kama yeye wakati anaipigania timu.
Kesi hii tutashinda kabla ya tar.6.8.2022.Tumuombe Mungu
Umejibu vyema kula tanoHapo namba 3 mkuu umepuyanga
TFF kupitia kamati zake mbalimbali inavaa jukumu la kuulinda mpira na kanuni zake na pale ambapo jumuia ya wanampira inapokosewa basi taasisi hii kupitia kanuni zake hutoa hukumu kwa mhusika
Suala la Manara na karia sio personal issue ingekua hivyo kama walikutana bar ama disko hapo hata TFF isingehusika
Manara hakumkosea Karia binafsi ameikosea taasisi kwa kua tukio limetokea kiofisi zaidi "yaani Manara alikua ofisini na Karia alikua ofisini wakati yayo yanatokea"
Kwa hiyo dhana yako ya kusema Karia alipaswa kuwepo kama mlalamiiaji inakua imekufa kifo cha kawaida kwa kua si masuala ya kibinafsi na hivyo kwenye kesi hii Karia anasimama kama taasisi
Kuirahisisha zaidi hebu jaribu kumtukana Mama samia kisha watu wa kitengo wakukamate halafu unipe mrejesho baadae kwamba samia alikuja mahakamani kutoa ushahidi ama kusimamia kesi yake
Uwezo wako wa kuandika,kufikiri ni mdogo sana.Uelewa wako upo shakani
Nauliza tu mkuu sio kwa ubaya, hivi kama anataka kuta rufaa, rufaa hii inakatwa kwa Nani?Moja kwa moja kwenye mada,