Ningeshauri suala la Manara liishe hivi...

Wazee wa vinyesi wanataka hili jambo lao lishughulikiwe personally na Rais Samia tena haraka ili takadini aungurume siku ya mwananchi la sivyo nchi haitatawalika.
 
Umeongea point ya maana sana kuna haja ya TFF kuangalia upya kanuni zake na kuacha ushabiki, Yanga wanapaswa kukata rufaa katika mamlaka za juu za soka.
 
Hapo namba 3 mkuu umepuyanga

TFF kupitia kamati zake mbalimbali inavaa jukumu la kuulinda mpira na kanuni zake na pale ambapo jumuia ya wanampira inapokosewa basi taasisi hii kupitia kanuni zake hutoa hukumu kwa mhusika

Suala la Manara na karia sio personal issue ingekua hivyo kama walikutana bar ama disko hapo hata TFF isingehusika

Manara hakumkosea Karia binafsi ameikosea taasisi kwa kua tukio limetokea kiofisi zaidi "yaani Manara alikua ofisini na Karia alikua ofisini wakati yayo yanatokea"

Kwa hiyo dhana yako ya kusema Karia alipaswa kuwepo kama mlalamiiaji inakua imekufa kifo cha kawaida kwa kua si masuala ya kibinafsi na hivyo kwenye kesi hii Karia anasimama kama taasisi

Kuirahisisha zaidi hebu jaribu kumtukana Mama samia kisha watu wa kitengo wakukamate halafu unipe mrejesho baadae kwamba samia alikuja mahakamani kutoa ushahidi ama kusimamia kesi yake
 
Ushauri mzuri Tatizo la Manara ujuaje mwingi anajifanya kila kitu cha hapa Duniani anakijua mie namshauri Baba yake Amtulize kijana wake karukwa na ubongo
 
Yanga inakuwaje mnaajiri mtu kwa nafadi ambayo haitambuluki wajinga ninyi
 
Umejibu vyema kula tano
 
Ushauri mzuri Tatizo la Manara ujuaje mwingi anajifanya kila kitu cha hapa Duniani anakijua mie namshauri Baba yake Amtulize kijana wake karukwa na ubongo
Hahhaa anakua kama yupo foolish age
 
Uzuri wa mitandao na teknologia kila mjinga na mpumbavu ana haki ya kukoment.
 
Huyo msomali kakutana na kichaa wa kariakoo kama vp zichapwe kwenye mo boxing
 
Nauliza tu mkuu sio kwa ubaya, hivi kama anataka kuta rufaa, rufaa hii inakatwa kwa Nani?
 
Nauliza tu mkuu sio kwa ubaya, hivi kama anataka kuta rufaa, rufaa hii inakatwa kwa Nani?
Ulizo zuri mkuu, atakata dhidi ya kamati inayosimamia maadili ambayo kiuhalisia ndiyo iliyomfungulia mashtaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…