Ningeshauri suala la Manara liishe hivi...

Mpira wa Tanzania ulopoingizwa siasa ukapotea. Sisi tusio mashabiki wa Kariakoo tunashangaa yanayoendelea nchini. Chama cha soka kinaendeshwa kama Mahakama ya mauaji ya Kimbari? Mwanahabari anafungiwa miaka 5, meneja maisha, kocha na taaluma yake asijihisishe na soka miaka 5???
 
Ulizo zuri mkuu, atakata dhidi ya kamati inayosimamia maadili ambayo kiuhalisia ndiyo iliyomfungulia mashtaka
Kama ni hivi basi Hakuna rufaa mkuu wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…