Panavutia. Tatizo mazingira ya kufanana na hayo unakuta kiwanja bei sana.
Sio lazima.Panavutia. Tatizo mazingira ya kufanana na hayo unakuta kiwanja bei sana.
Kweli. Tungefanya hyvio, mambo yangeenda bora zaidiHizo nyumba hujengwa kwa kufuata master plan, ambapo mchoro unapitishwa na mamlaka za miji kiasi kwamba unapangiwa idadi ya vyumba, uelekeo wa kila chumba, rangi, ukubwa aa backyard, sewage system iweje na mambo kibao...
Miaka ya nyuma nilikwenda kutembea Thailand
Kuna Mto Kwai na kuna nyumba zinaelea hapo ndio natamani au sehemu kama hiyo pembezoni mwa Mto
View attachment 1866228
View attachment 1866229
Njoo Puna Yale Yale Kigamboni.Siku Nyangasa na Ndugulile wakifosi mwendokasi toka Kivukoni Mpaka Buyuni atakuwa kaacha legacy yake.Habari wana JF,
Ninatumai habari njema.
Nilikuwa ninafikiri kujenga nyumba lakini ukitaka kujenga nyumba ya kuishi lazima ufikiri hata surrounding yako (mazingira yanayokuzunguka) kwa mfano majirani, usafi wa mtaa
Hyvio nilitaka kuweka hapa baadhi ya picha ya neighborhood popote niliona nzuri, labda tutapata wazo ya kuendelea nchi zenu bora.
Ningetaka kujua shauri yenu.
First choice
View attachment 1862341
Njoo Puna Yale Yale Kigamboni.Siku Nyangasa na Ndugulile wakifosi mwendokasi toka Kivukoni Mpaka Buyuni atakuwa kaacha legacy yake.
Bahati mbaya hawana tovutiNi pazuri huo mpangilioš
Mkuu Mimi Nina site huko ingawa sihishi huko.Toka mwaka Jana mwezi wa sita ndio nimeenda Juzi.Lile eneo limepimwa ingawa spidi ya ujenzi sio kubwa umeme upo maji nimeona waliojenga wamechimba visima vyao na maji ni ya baridi.Kuhusu mradi sijajua humu kuna jamaa waliwahi zungumzia humu watakupa majibu.Kumetulia Sana hali ya hewa swafu kabisa.Ingawa ni mbali toka Kivukoni ila ukiwa na private car umekula bingo na wengi ndio usafiri wao.Nimesikia kuhusu mrade ule. Hali ni vipi ? Hamna tatizo lolote ? Una picha ? Tovuti ? Hamna mafuriko ? Huduma ya umeme na madi , inapitia huko ?
Hii mito ukiikuta huku kwetu basi ujue sewage system ndio zimeleekezewa hapo, au lah basi taka za viwandaniMiaka ya nyuma nilikwenda kutembea Thailand
Kuna Mto Kwai na kuna nyumba zinaelea hapo ndio natamani au sehemu kama hiyo pembezoni mwa Mto
View attachment 1866228
View attachment 1866229