A Alikaeli Senior Member Joined Jul 30, 2016 Posts 169 Reaction score 194 Oct 30, 2018 #1 Mtu akikutwa anafanya biashara bila lesseni adhabu yake ni nini.
L lyimorose Member Joined Oct 24, 2018 Posts 11 Reaction score 13 Oct 31, 2018 #2 Kwa mujibu wa sheria ya leseni za biashara ya mwaka 1972 sura ya 25 kifungu cha 17 adhabu yake ni faini au kifungo cha miaka 2 au vyote kwa pamoja.
Kwa mujibu wa sheria ya leseni za biashara ya mwaka 1972 sura ya 25 kifungu cha 17 adhabu yake ni faini au kifungo cha miaka 2 au vyote kwa pamoja.
A Alikaeli Senior Member Joined Jul 30, 2016 Posts 169 Reaction score 194 Oct 31, 2018 Thread starter #3 lyimorose said: Kwa mujibu wa sheria ya leseni za biashara ya mwaka 1972 sura ya 25 kifungu cha 17 adhabu yake ni faini au kifungo cha miaka 2 au vyote kwa pamoja. Click to expand... ok faini ya sh ngapi na anapofungwa miaka 2 iyo biashara maana yake ifungwe na isiendelee kulipa kodi kwa miaka 2 kweli ?
lyimorose said: Kwa mujibu wa sheria ya leseni za biashara ya mwaka 1972 sura ya 25 kifungu cha 17 adhabu yake ni faini au kifungo cha miaka 2 au vyote kwa pamoja. Click to expand... ok faini ya sh ngapi na anapofungwa miaka 2 iyo biashara maana yake ifungwe na isiendelee kulipa kodi kwa miaka 2 kweli ?