Nini adhabu ya kufanya biashara bila lesseni

Nini adhabu ya kufanya biashara bila lesseni

Alikaeli

Senior Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
169
Reaction score
194
Mtu akikutwa anafanya biashara bila lesseni adhabu yake ni nini.
 
Kwa mujibu wa sheria ya leseni za biashara ya mwaka 1972 sura ya 25 kifungu cha 17 adhabu yake ni faini au kifungo cha miaka 2 au vyote kwa pamoja.
 
Kwa mujibu wa sheria ya leseni za biashara ya mwaka 1972 sura ya 25 kifungu cha 17 adhabu yake ni faini au kifungo cha miaka 2 au vyote kwa pamoja.
ok faini ya sh ngapi na anapofungwa miaka 2 iyo biashara maana yake ifungwe na isiendelee kulipa kodi kwa miaka 2 kweli ?
 
Back
Top Bottom