NINI AMEFANYA KWELI HUMU

IamTheMan

Member
Joined
Apr 20, 2018
Posts
48
Reaction score
60

Hii ngoma ni kali sanaa anzia Lyrics, beat na kwenye melody Daamn huyu mtoto wa kike kafanya kweli humu.

Ni ngoma flani unatakiwa usikilize ukiwa umetulia flani ndio unaweza ifaidi, amelia uzuri sana humu ukipigwa dedication hii lazma uwaze mara mbili mbili.

Hivi ndio vipaji vinavyotakiwa kupewa support, i can see her mbali sana kama taendelea hivi.

Once again nice song Hongera sana Nini.
 
Wala hata havutii
Kuvutia ni kigezo cha pili katika kugonga K, cha kwanza ikiwa ukaribu!! Kadri K inapokuwa karibu zaidi na wewe, ndipo inapokuwa hatarini zaidi kugongwa na mengine yote yanafuata baadae!
 
Ila huyu demu sijui kama atasurvive kwenye game, atachezea libollo fc la Ney kwa sana akimchoka anatemana naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…