IamTheMan
Member
- Apr 20, 2018
- 48
- 60
Hii ngoma ni kali sanaa anzia Lyrics, beat na kwenye melody Daamn huyu mtoto wa kike kafanya kweli humu.
Ni ngoma flani unatakiwa usikilize ukiwa umetulia flani ndio unaweza ifaidi, amelia uzuri sana humu ukipigwa dedication hii lazma uwaze mara mbili mbili.
Hivi ndio vipaji vinavyotakiwa kupewa support, i can see her mbali sana kama taendelea hivi.
Once again nice song Hongera sana Nini.