ni tanga+nyika, nyika ikimaanisha pori(bara kipindi hiko) na tanga ni pwani!
hii ni kutoka kwa babu yangu binafsi nilimuamini ndo maana nikachangia kwny uzi huu
Wadau,ikiwa asili ya jina la Tanzania lilitokana na muunganiko wa majina ya nchi hizi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar kama tujuavyo,je kuna yeyote anaefahamu asili ya jina la nchi ya Tanganyika? Please!! Kama hujui lolote katika hili,si vibaya ukapita tu.Nawasilisha!
Kumekuwepo na maswali mengi juu ya jina la tanganyika na baadaye tanzania
sisi twajua yakwamba jina tanzania lilitokana na munganiko wa nchi mbili tanganyika na zanzibar,
sasa swali nikwamba Tanganyika ilitokana na nini?
Na nini maana ya Tanganyika?
Na ninani aliyependekeza jina Tanganyika?
Neno Tanganyika linamaanisha 'nyika ya Tanga'. Watembezi 'explorers' wa kizungu waliokuja wakti wa zamani, walishukia Tanga, na wakaingia bara kutafuta chanzo cha mto Nile. Maeneo yale waliyotembea wakayaita 'nyika ya Tanga' au Tanganyika. Soma zaidi hapa:
Tanganyika Territory - Wikipedia, the free encyclopedia

kidogo@dingswayo@unajaribu kuleta maana kamili,
ebu tuendelee kuchambua,
Ni kweli kabisa, au kwa maana nyingine walimaanisha TANGALANDNeno Tanganyika linamaanisha 'nyika ya Tanga'. Watembezi 'explorers' wa kizungu waliokuja wakti wa zamani, walishukia Tanga, na wakaingia bara kutafuta chanzo cha mto Nile. Maeneo yale waliyotembea wakayaita 'nyika ya Tanga' au Tanganyika. Soma zaidi hapa:
Tanganyika Territory - Wikipedia, the free encyclopedia
Neno Tanganyika linamaanisha 'nyika ya Tanga'. Watembezi 'explorers' wa kizungu waliokuja wakti wa zamani, walishukia Tanga, na wakaingia bara kutafuta chanzo cha mto Nile. Maeneo yale waliyotembea wakayaita 'nyika ya Tanga' au Tanganyika. Soma zaidi hapa:
Tanganyika Territory - Wikipedia, the free encyclopedia
Tanganyika Tanga+Nyika
1.Tanga-zunguka,angaika
2.Nyika-Msitu
Unfortunately definition hii ambayo imekuwa inatumika kwa muda mrefu sana kuhusiana na jina Tanzanyika inapotosha. Mara baaya ya vita ya dunia ambapo Germany East Africa ilipotoweka, waingereza hawakutaka kuiita eneo hili kuwa British East Africa hivyo wakadakia jina Tanganyika mwaka huo wa 1922 kwa kutania kuwa ni nyika iliyokuwa nyuma ya Tanga, lakini jina Tangayika lililikuwepo tangu kabla ya mjerumani likiwa ni jina la hilo Ziwa Tanganyika. Nikipata nafasi nitatafiti kujua ni nani aliyeliita jina hilo lakini Speke na Burton walipofika ziwani pale mwaka 1859 waliandika kuwa wamefika kwenye Ziwa Tanganyika, ikiwa na maana kuwa walilikuta likiwa linaitwa vile. Angalia article hii ya Speke aliyoandika mwaka 1859 kuhusiana na ziwa hilo. Kwa hiyo jina la Tanganyika linatokana na ziwa Tanganyika siyo Nyika za Tanga.
hizo tafiti ndizo tunazozitaka sasa tunaitaji maelezo ya kina toka kwa wazee wetuTafiti zinatakiwa