Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Bagamoyo ilikuwa na nafasi gani?
Mtoa mada usione tabu kusema nyerere ndie msaliti wa watanganyika.
Kweli kabisa, ni combination ya majina mawili ya samaki was Ziwa Tanganyika: intanga n'inyika,walilitoa kigoma!!
Haijalishi jina Tanganyika walilitoa wapi, tunaitaka Tanganyika yetu. PERIOD!!! Jina ni jina tu, walilitoa wapi, au maana yake ni nini, yote hayo hayana maana!!! Kujua majina Magomeni, Tandika, Temeke, Sinza, Ubungo n.k, maana yake ni nini, au waliyatoa wapi, inatusaidia nini??? Sina haja ya kujua kwamba jina lako ufumawicha lilitoka wapi, au maana yake ni nini; mimi najua wewe unaitwa ufumawicha, basi inatosha! Kazi kubwa ya jina, ni kutofautisha mahali fulani na mahali pengine; kitu fulani na kitu kingine; mtu au kiumbe fulani, na kiumbe au mtu mwingine; n.k. BASI !!!! Narudia tena, bila kujali jina Tanganyika walilitoa wapi, au maana yake ni nini, TUNAITAKA TANGANYIKA YETUUUUUUU !!!!!!! BASIIIII !!!!!!
Kuirudia tanganyika haitusaidii kitu chochote. Na wengi wao tumezaliwa tumeikuta tanzania hivyo hatuna haja ya kuijua tanganyika.
Shida zako kama mtanzania hazitaondolewa kwa kurudisha jina tanganyika bali kwa kuchapa kazi na kuwachagua viongozi makini.
Acheni tabia zenu za kutugawa kwa kivuli cha serikali 3... mshindwe na mlegee.
There you are! That is true.Tanga ndiyo ilikuwa sehemu waliyoipenda sana wajerumani hivyo waliwabeba vibarua kutoka sehemu mbalimbali kuelekea tanga ule umbali wa kutoka mikoa mbalimbali kwenda tanga tena nyikani ikawa wanaita nyika za kwenda tanga au tanganyika. Kwa ufupi ni msitu wa tanga au mwitu wa tanga hilo tanganyika walilijenga wenyewe wabantu wakimaanisha msitu wa kuelekea tanga hivyo basi wajeruma walitumia hilo kama jinsi ya kuitambua