Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
You are wrong! Kwanza Wajerumani hawakuwa na shida na samaki. target yao ilikuwa malighafi yamadini, pembe za ndovu na ardhi ya kilimo. Tanga ndiko ilikokuwa ikulu yao na walifungua mashmba makubwa ya katani huko. Ikulu waiihamisha Dar baada ya kuteka kwa nguvu maili nane iliyokuwa himaya ya Sultani wa Zanzibar. Asili yakeni Tanga yaani nyika ya kuelekea Tanga, baada ikitwa Tanganyika.Kweli kabisa, ni combination ya majina mawili ya samaki was Ziwa Tanganyika: intanga n'inyika,
Tanga ndiyo ilikuwa sehemu waliyoipenda sana wajerumani hivyo waliwabeba vibarua kutoka sehemu mbalimbali kuelekea tanga ule umbali wa kutoka mikoa mbalimbali kwenda tanga tena nyikani ikawa wanaita nyika za kwenda tanga au tanganyika. Kwa ufupi ni msitu wa tanga au mwitu wa tanga hilo tanganyika walilijenga wenyewe wabantu wakimaanisha msitu wa kuelekea tanga hivyo basi wajeruma walitumia hilo kama jinsi ya kuitambua
Hizi ni kamba tuNeno Tanga ni la Kiarabu limetokana na neno Tanja na Waarabu walipofika pwani ya Afrika mashariki ijulikanayo kwa sasa kama Tanga, waliufananisha na mji uitwao Tangier (Morocco) na kwa kuwa Tanga kulikuwa na msitu unaoingilika (Nyika) na ili kutofautisha kati ya Tanja ya mjini na Tanja ya nyikani, ikaitwa Tanganyika ikimaanisha kutofautisha baina ya Tanga (mji) na kuingia (Ushenzini) Tanga-nyikani.
Huwezi kuuondoa Uarabu uliopo Afrika, hata ufanye nini, kwani Uarabu mwingi upo Afrika kuliko huko kunakojulikana kwa sasa kama Uarabuni. Huo ndio ukweli. Amini usiamini.
Ibn Batuta alitokea au alipitia Tangier.Hizi ni kamba tu
Hii ina leta mantiki kwa vile ina ushahidi. Umweiweka vizuriUnfortunately definition hii ambayo imekuwa inatumika kwa muda mrefu sana kuhusiana na jina Tanzanyika inapotosha. Mara baaya ya vita ya dunia ambapo Germany East Africa ilipotoweka, waingereza hawakutaka kuiita eneo hili kuwa British East Africa hivyo wakadakia jina Tanganyika mwaka huo wa 1922 kwa kutania kuwa ni nyika iliyokuwa nyuma ya Tanga, lakini jina Tangayika lililikuwepo tangu kabla ya mjerumani likiwa ni jina la hilo Ziwa Tanganyika. Nikipata nafasi nitatafiti kujua ni nani aliyeliita jina hilo lakini Speke na Burton walipofika ziwani pale mwaka 1859 waliandika kuwa wamefika kwenye Ziwa Tanganyika, ikiwa na maana kuwa walilikuta likiwa linaitwa vile. Angalia article hii ya Speke aliyoandika mwaka 1859 kuhusiana na ziwa hilo. Kwa hiyo jina la Tanganyika linatokana na ziwa Tanganyika siyo Nyika za Tanga.
Bibi kutoka Kandahar lazima ajitokeze kusifia MaayatolaNeno Tanga ni la Kiarabu limetokana na neno Tanja na Waarabu walipofika pwani ya Afrika mashariki ijulikanayo kwa sasa kama Tanga, waliufananisha na mji uitwao Tangier (Morocco) na kwa kuwa Tanga kulikuwa na msitu unaoingilika (Nyika) na ili kutofautisha kati ya Tanja ya mjini na Tanja ya nyikani, ikaitwa Tanganyika ikimaanisha kutofautisha baina ya Tanga (mji) na kuingia (Ushenzini) Tanga-nyikani.
Huwezi kuuondoa Uarabu uliopo Afrika, hata ufanye nini, kwani Uarabu mwingi upo Afrika kuliko huko kunakojulikana kwa sasa kama Uarabuni. Huo ndio ukweli. Amini usiamini.