Nini asili ya Magaga na tiba yake?

Nini asili ya Magaga na tiba yake?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Miguu ya wenzetu wengine kuwa na kreki za asili a.k.a Magaga?

Naomba mnaojua tafadhali mnisaidie kwani kuna mtu mimekaribisha kwangu kaja na ndala zake akawa amekunja nne katika kochi bahati mbaya akanichania foronya langu na sasa nahangaika kuingiza uzi katika tobo lile gogo la indano ili nishone kwani hilo gaga limenichania sehemu kubwa tu ya foronya langu.

Nitashukuru nikipata elimu hii adhimu ya nini hupelekea mwanadamu kuwa na mipasuko pembezeno mwa miguu hasa kule anapokanyagia ambayo kwa Kiswahili huwa tunaiita Magaga.

Pole sana kwa ajali, ila vumilia usijiumize wala usimkasirikie mgeni aliekuja kukutembelea. Kwa sisi waswahili tunaamini mgeni ndani ya nyumba ni baraka.

Ingawa naweza nikawa sina jibu la kitaalam zaidi ila kwa mtazamo wangu Yabisi nafikiri zinasababishwa na vumbi, kwahiyo dawa yake ni kuwa na mazoea ya kuvaa viatu vya kufunika.

Tuwasubiri wataalam waje kutusaidia kitaalam zaidi
 
Nimekusoma Mkuu.
 
Anaondoka lini? asije akachana na mashuka.

Alikuwa Anataka Kuondoka Lakini Amehairisha Hivyo Nataka Nitoe Maforonya Yote Ktk Makochi Na Hata Shuka Za Kulalia Simpi Asije Akanisababishia Hasara Inayoweza Kuzuilika.
 
Back
Top Bottom